Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

Hizi vurugu za wasemaji zilianzishwa na simba wakati msemaji wao ni manara Mpaka akaleta neno utopolo !
Hata hivyo siungi mkono Ali kamwe na kuendeleza huu upuuzi .
Aliyeleta neno utopolo ni mwana Yanga mwenzenu nakumbuka kuna siku alichezea kichapo kwa wanazi wenzake pale Lupaso kwa upuuzi wake huu. Kuhusu Manara kuwa roporopo tangu akiwa Simba ni kweli,ila husu asamehewe tu ana changamoto ya akili.
 
Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga.

Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada wengine wawili wenye tabia kama zao, wanaweza kupata kikundi kizuri cha kusuta na kikawa kinakodishwa kwenda kusuta na kuzodoa ila si kutumika kwenye mpira wetu wa Tanganyika.
Gongo wazi, utopolo ni majina hayana ladha kwa jamii iliyoelimika, ni maudhi na binafsi wasomi wengi huwa hawapendi kwakuwa gongo wazi ni watoto wanazaliwa hivyo si kwa mapenzi yao bali genetical, the same na utopolo, haya majina ikipendezwa hawa comedians waache matra moja.

Viongozi wa Yanga wamekuwa wakivaa jezi za timu pinzani wa Simba kunapokuwa na mechi za kimataifa.
Viongozi wa Yanga badala ya utani wao wanakwenda airport kupokea wapinzani wa Simba na kwenda mbali zaidi kuwapa siri za Simba na kuizomea Simba dhidi ya wapinzani.

Haijawah kutokea Simba akacheza na Al Ahly alafu washabiki wa Zamalek wakaja wamevaa jezi za Simba na kuitukana Al -Ahly.

Watu wachache wameharibu mpira, yupo Ali Kamwe, Shayo[Privadinho], na wakati mwengine Ahmed Ally.
Yanga wanaoana Simba amefungwa Na Waydad wanaizomea Simba badala ya kuungana na simba na bila kujua Simba imeiheshimisha Tanganyika na kusababisha kupata nafasi nne kimataifa.

Yanga imekaa miaka 25, umri wa Wema Sepetu bila kuingia CAF Champions , Simba hawakuwahi kuwazomea kwa hilo na wa Tanganyika wengi hawakuwahi kujua hilo mpaka mwaka huu walipoanza kuitukana Simba na Simba ndio ikajibu mapigo kwa kuweka hizo takwimu wazi.

View attachment 2841242
View attachment 2841241
Simba ndio walioanzisha huu mtindo. Walikuwa wanawazomea Yanga kwa miaka 4 ambayo Yanga walikuwa kama watoto yatima huku Simba ikiwika nchini na nje, so let them swallow the bitter pill. Karma is a bitch!
 
Kwa miaka 4 Simba hawajawahi wazomea Yanga, weka historia vizuri na Siku Manara alipoanza kuzomea alifukuzwa na Barbara.
 
Ahmed tulia bna...Hili ndio soka letu,unataka tuige mambo ya wenzetu wakati huko unakotaka tuige hata hayo mambo ya usemaji wa timu hakuna...Utakula wapi sasa tukiwaiga??
 
Ndo maaana hakanenepi..u can see his evil eyes...yani yy mpira umekua kama ugomvi kwake...
Na naona hapatani na Manara...maana anaona manara kama anakua maarufu ndani ya cheo chake..
 
Klabu ya Yanga wamekuwa wa kuzodoa zodoa tena kwenye media , wasemaji wamejenga chuki kuliko washabiki, wamefanya chuki kubwa sana. Yanga wamesababisha Simba nayo ianze kujibu na kuonekana wajinga lakini upuuzi ulianzishwa na Yanga.

Ali Kamwe na Shayo[Privadinho] kama wangepata na wanadada wengine wawili wenye tabia kama zao, wanaweza kupata kikundi kizuri cha kusuta na kikawa kinakodishwa kwenda kusuta na kuzodoa ila si kutumika kwenye mpira wetu wa Tanganyika.

Gongo wazi", utopolo ni majina hayana ladha kwa jamii iliyoelimika, ni maudhi na binafsi wasomi wengi huwa hawapendi kwakuwa gongo wazi ni watoto wanazaliwa hivyo si kwa mapenzi yao bali genetical, the same na utopolo, haya majina ikipendezwa hawa comedians waache matra moja.

Viongozi wa Yanga wamekuwa wakivaa jezi za timu pinzani wa Simba kunapokuwa na mechi za kimataifa.
Viongozi wa Yanga badala ya utani wao wanakwenda airport kupokea wapinzani wa Simba na kwenda mbali zaidi kuwapa siri za Simba na kuizomea Simba dhidi ya wapinzani.

Haijawah kutokea Simba akacheza na Al Ahly alafu washabiki wa Zamalek wakaja wamevaa jezi za Simba na kuitukana Al -Ahly.

Watu wachache wameharibu mpira, yupo Ali Kamwe, Shayo[Privadinho], na wakati mwengine Ahmed Ally.
Yanga wanaoana Simba amefungwa Na Waydad wanaizomea Simba badala ya kuungana na simba na bila kujua Simba imeiheshimisha Tanganyika na kusababisha kupata nafasi nne kimataifa.

Yanga imekaa miaka 25, umri wa Wema Sepetu bila kuingia CAF Champions , Simba hawakuwahi kuwazomea kwa hilo na wa Tanganyika wengi hawakuwahi kujua hilo mpaka mwaka huu walipoanza kuitukana Simba na Simba ndio ikajibu mapigo kwa kuweka hizo takwimu wazi.

View attachment 2841242
View attachment 2841241
Mbona wewe mwenyewe umeandika kama Juma lokole
 
Back
Top Bottom