Yanga na Simba waanzishe vikundi vya kuchekesha - Vigodoro!

Hizi vurugu za wasemaji zilianzishwa na simba wakati msemaji wao ni manara Mpaka akaleta neno utopolo !
Hata hivyo siungi mkono Ali kamwe na kuendeleza huu upuuzi .
Aliyeleta neno Utopolo sio manara ila ni shabiki wa yanga.....manara alilibrand tu[emoji23]
 
Hizi vurugu za wasemaji zilianzishwa na simba wakati msemaji wao ni manara Mpaka akaleta neno utopolo !
Hata hivyo siungi mkono Ali kamwe na kuendeleza huu upuuzi .
Aliyeleta neno utopolo ni mwana Yanga mwenzenu nakumbuka kuna siku alichezea kichapo kwa wanazi wenzake pale Lupaso kwa upuuzi wake huu. Kuhusu Manara kuwa roporopo tangu akiwa Simba ni kweli,ila husu asamehewe tu ana changamoto ya akili.
 
Simba ndio walioanzisha huu mtindo. Walikuwa wanawazomea Yanga kwa miaka 4 ambayo Yanga walikuwa kama watoto yatima huku Simba ikiwika nchini na nje, so let them swallow the bitter pill. Karma is a bitch!
 
Kwa miaka 4 Simba hawajawahi wazomea Yanga, weka historia vizuri na Siku Manara alipoanza kuzomea alifukuzwa na Barbara.
 
Ahmed tulia bna...Hili ndio soka letu,unataka tuige mambo ya wenzetu wakati huko unakotaka tuige hata hayo mambo ya usemaji wa timu hakuna...Utakula wapi sasa tukiwaiga??
 
Ndo maaana hakanenepi..u can see his evil eyes...yani yy mpira umekua kama ugomvi kwake...
Na naona hapatani na Manara...maana anaona manara kama anakua maarufu ndani ya cheo chake..
 
Mbona wewe mwenyewe umeandika kama Juma lokole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…