Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaaaa. Ila Kazi wanayo.Yaani anajitoa ufahamu kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaa. Ila Kazi wanayo.Yaani anajitoa ufahamu kweli
Kiele ele cha Mbumbu sc.Simba wameenda bila kombe... Hahahaa
USHAMBA GANI HUU!!!
Hili nalo nenoHuwa nakerwa sana na tabia hii!
Ingekuwa inapendeza sana kama, timu ipate ushindi kutoka timu ya nje ya Tanzania, hapo sawa!
Kuanzia Spika (toka 6 mpaka Ndugai) Mawaziri, wabunge, wote hovyo tu, kwa kuonyesha ushabiki wao, kiasi kwamba timu zetu zinajiona zimeshafika!
Hata thamani ya "BUNGENI" inateremka!
Yanga haijawahi kuwa na kampeni ya KUJIREMBA sababu mara nyingi huwa tuko bize na KOMBE. Na hii ndio maana msimamo wa NDOO ni 27 vs 18. Nyie endeleeni kuwa warembo.Yanga hadi uvaaji wanakuwaga hovyo
27 vs 18yanga ni timu ya hovyo kabisa,hata kama uwepo wao ndio unaifanya simba ing`are lakini sijawahi kuikubali kabisa,hasa rangi za jezi zao...
manara mfukuze huyu mama uanachama
mie naona Simba walijipanga maana walienda wachezaji wote ila Yanga walienda Baadhi tu ya wachezaji
Yanga watakua walikosa NAULI
Ukimaliza mashaka hamia kwenye SUTI ya Manara 😀😀😀NAANZA KUPATA MASHAKA JUU YAKO