Yanga na Simba zinapokuwa Bungeni

Yanga na Simba zinapokuwa Bungeni

Nimeona kwenye kikosi cha samba kuna mh. mwenye vazi
la yanga,ila kwenye kikosi cha yanga hakuna hata mmoja
mwenye vazi la samba,hongera mh. kwa kutoikana itikadi
hata ukiarikwa upande pinzani.
 
mie naona Simba walijipanga maana walienda wachezaji wote ila Yanga walienda Baadhi tu ya wachezaji
 
Huwa nakerwa sana na tabia hii!
Ingekuwa inapendeza sana kama, timu ipate ushindi kutoka timu ya nje ya Tanzania, hapo sawa!
Kuanzia Spika (toka 6 mpaka Ndugai) Mawaziri, wabunge, wote hovyo tu, kwa kuonyesha ushabiki wao, kiasi kwamba timu zetu zinajiona zimeshafika!
Hata thamani ya "BUNGENI" inateremka!
Hili nalo neno
 
Kwanza hii tabia ya kwenda bungeni sijui nini ni hapa bongo sijui Manchester city kama watafanya hivo
unalinganisha mbingu na ardhi..........nadhani wewe ndio uliomba muongozo Bungeni
 
Yanga hadi uvaaji wanakuwaga hovyo
Yanga haijawahi kuwa na kampeni ya KUJIREMBA sababu mara nyingi huwa tuko bize na KOMBE. Na hii ndio maana msimamo wa NDOO ni 27 vs 18. Nyie endeleeni kuwa warembo.

Kama una macho mazuri na akili 'angalau kidogo' utaona picha za Yanga wameambatana na KOMBE na Simba Koko wako mikono mitupu. Kombe wameliacha sehemu maana hawana mazoea nayo.
 
mie naona Simba walijipanga maana walienda wachezaji wote ila Yanga walienda Baadhi tu ya wachezaji

Yanga watakua walikosa NAULI

Nabii wa Soka Ismail Aden Rage aliposema Mashabiki wa Simba ni MBUMBUMBU ilikuwa ngumu kumuelewa kwa wakati ule, sasa nawasikiliza...namuelewa Rage.

Iko hivi, KITU ULICHOSUBIRI KWA MIAKA MI5 HALAFU UKAKIPATA NA HUJUI UTAKIPATA LINI TENA UNAWEZA KWELI KUKISHIRIKI NUSU? Rage hakusema Wachezaji ni MBUMBUMBU na ndio maana wamehudhuria wote...wanajua, UKIMISS HII umemiss SOLAR ECLISPE. Washabiki ndio hamuelewi.
 
PIC%2B02.jpg


Huyu MUUNDA MANENO wenu alikuwa na ulazima wa kuvaa vazi asiloendana nalo? Angevaa tu kama Naibu Waziri
 
Back
Top Bottom