Elias Misinzo Maligo
Senior Member
- Apr 7, 2019
- 140
- 122
Malalamiko haya ni halali, hakuna ligi duniani kote timu moja iwe na viporo 23 huku zingine zimebaki na mechi 5. Huu ukikuwa mpango wa TFF kuiwezesha Simba. Faida ya viporo 23 ni kufanya biashara kwa timu ambazo hazina matumaini ya kuchukua ubingwa wala kushuka daraja kuuza mechi. TFF imulikwe kwa hili.Mnachoteseka ni nini? Inamana Yanga ndy angetakiwa achukue? Shida mnataka bingwa awe wa upande mmoja tuu!! Kwa jins hiyo, ligi haiwezi kukua hata iweje!! Ni kama vile Yanga mnaumia sana
Fuatilia timu za wenzetu ,ligi yao yule anayeshiriki UEFA na asiyeshiriki idadi ya michezo ni sawa hakuna viporo,sasa Simba viporo 23 timu zingine zimebaki na mechi 5. Hapa ilipangwa muvi ya timu ambazo hazina matumaini ya ubingwa wala kushuka daraja kufanya biashara na Simba. Huu ulikuwa mpango wa TFF na Simba, viporo 23!Kwahiyo kuhusu viporo ulitaka simba wanyanganywe asicheze au? Maana walikuwa wanacheza kimataifa hakukua na namna nyingine, unasema hujawahi kuona je ni sheria ya mpira inakataza au ni haijatokea tu?
Fuatilia timu za wenzetu ,ligi yao yule anayeshiriki UEFA na asiyeshiriki idadi ya michezo ni sawa hakuna viporo,sasa Simba viporo 23 timu zingine zimebaki na mechi 5. Hapa ilipangwa muvi ya timu ambazo hazina matumaini ya ubingwa wala kushuka daraja kufanya biashara na Simba. Huu ulikuwa mpango wa TFF na Simba, viporo 23!Kwahiyo kuhusu viporo ulitaka simba wanyanganywe asicheze au? Maana walikuwa wanacheza kimataifa hakukua na namna nyingine, unasema hujawahi kuona je ni sheria ya mpira inakataza au ni haijatokea tu?
Ww mpaka uangalie wengine wamefanyeje ndo ufuate? Kwan viporo vilichezwa simba kila mchezaji alikuwa na miguu minne? Au ni miwili kawaida? Na kama yanga alikuwa anauwezo kwann asingeshinda mechi zake halafu tuone kama simba angekuwa bingwa,Fuatilia timu za wenzetu ,ligi yao yule anayeshiriki UEFA na asiyeshiriki idadi ya michezo ni sawa hakuna viporo,sasa Simba viporo 23 timu zingine zimebaki na mechi 5. Hapa ilipangwa muvi ya timu ambazo hazina matumaini ya ubingwa wala kushuka daraja kufanya biashara na Simba. Huu ulikuwa mpango wa TFF na Simba, viporo 23!
Je sheria za mpira zinakataza?kimataifa alicheza peke yake vp tp,vital,j.s soura kwenye ligi zao wallikuwa na ivo viporo 12
Sasa simba kashakuwa bingwa kuna haja gani ya kusikia hayo uliyoandikakwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12
ama timu kucheza kila baada ya siku 2
ama backpass kuwa offside
ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
Kwahiyo kushindwa ni lazima au? Kama timu haina uwezo haina tu acheni kutafuta sababu za kushindwa andaeni timu ligi bado ipo ikiwa bora itashinda tu ila ikiwa mbovu mtaendelea kusema simba inanunua mechiunazungumzia soka ama kabumbu, psg,liva,baka na ubora wao wanategjemea matokeo 3, kumtaka Yanga ashinde tu bila suruhu wala kupigwa hilo sio SOKA ni KABUMBU
kama ungepewa nafasi ya kuongoza soka ukaja na mawazo kama haya ni ajabu sana
Kwani unateseka?kwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12
ama timu kucheza kila baada ya siku 2
ama backpass kuwa offside
ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
We ndio kichwa maji umeona wapi timu moja inailipia nauli timu pinzani aje acheze nayo?! Au umesahau Ndanda ilivyocheza na yanga mechi zote dar na malinzi akabariki tu! Zamu yenu kunyolewa vyura nyie!Miaka yote yanga wamebeba ndoo hakukua na ujinga huu
Wamejidhalilisha tu
Mkuuu wewe ungeshinda mechi zako zote hivyo viporo vya mnyamaa vingekuathili nini? .
Hukuelewa hata chembeWe ndio kichwa maji umeona wapi timu moja inailipia nauli timu pinzani aje acheze nayo?! Au umesahau Ndanda ilivyocheza na yanga mechi zote dar na malinzi akabariki tu! Zamu yenu kunyolewa vyura nyie!
ndio maana hii inakuja leta upangaji wa matokeo badae,pia inataka timu icheze baada ya masaa 72 (siku 3) kwetu ilikuwa ni siku 2Je sheria za mpira zinakataza?
Akikujibu nishtue.Hivi timu kucheza mechi 11 uwanja Wa nyumbani pasipo kutoka si tff hii au ni nyingne majibu plase
Hata vingekuwa viporo 7 bado mngesema tu..kwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12
ama timu kucheza kila baada ya siku 2
ama backpass kuwa offside
ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
Kumbe kuchukua ubingwa unafikiri ni simple?mkuu unacheza match Tanga vs coast unaenda singida..ndan ya siku 2 unarudishwa tena Tanga...kwanin usipangiwe games zote za Tanga umalize then ndiyo uende singida...huoni uhuni huo
Mkuu mbona umempa dozi ya maaana sana.. kama hatapona basi.Sio kazi ya TFF, Bodi ya Ligi au Marefarii kuzijengea uwezo baadhi ya timu kuchukua ubingwa. Uwezo unatokana na maandalizi ya kila timu moja moja, kuanzia usajili hadi training. Kumbuka mlivyokuwa mkibeza bajeti ya bilioni 1.3, mnadhani mambo yanajiendea kwa mazoea tu? Watu wamewekeza, viongozi wa timu hizo za Kagera Sugar na Lipuli pia wakitafuta fedha za kutosha maandalizi kama ya Simba, watatoa ushindani hadi wa kubeba ubingwa, na wala sio ajabu. Mbona Azam amebeba ndoo, tena zote ya Bara na ya Kagame Cup? Kwa kuwa aliwekeza katika usajili na uendeshaji. Yanga ilikuwa inagoma kufanya uchaguzi, sasa nani atawapa malezi wachezaji, kocha? Yaani kocha ameajiriwa uje umtegemee ndio awabembeleze wachezaji wasigome? Yanga mkubali kuwa hamkuwa na kikosi kizuri kama Simba, na hamkuwa na viongozi wazuri kama Simba
Lile goli la NGOMA hata mimi nilishangaa Zahera hakuliongelea... Hawa jamaa ni wagonjwaIla yanga mna lawama ambazo hata hamfikirii kwakweli, game ya yanga vs azam, kuna miujiza niliona, lakini sijaona yanga wakilaumu , lile goli walofunga azam hahahahahaha , refa kagoma eti faulo khaaa!! Emu vibanzi vyetu tuvipeleke pande zote!! Timu inacheza judo uwanjani kwanini refa asitoe faulo, cha msingi jipangeni msimu ujao ili mje mchukue kombe !! Makocha wanaojua mpira wala huwa hawalaumu!!
kabisa mkuu.. wajipangeHakuna kitu kibaya kama kutaka matokeo yako kichwani ndio yawe.