Yanga na teams zote za ligi kataeni huu upuuzi

Yanga na teams zote za ligi kataeni huu upuuzi

Sportpesa mmekosa.
F.A mmekosa
Mapinduzi mmekosa
Kagame Cup mmekosa
TPL mmekosa
Ina maana hata Sportpesa mlikoseshwa na TFF ?
Ambao hawakuhusika na chochote...!
Wacheni visingizio.
Chezeni Mpira
Mshinde mechi zenu.
Atakuambia SportPesa ni simba
 
Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa

Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.

Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.
Kwa maoni yangu, siku nyingine ukiandika mada, jaribu kutoa hoja na mifano hai, ili tuelewe unachozungumzia, maana umelaumu TFF, bodi ya ligi na chama cha marefa, bila kusema hata kitu kimoja walichokosea.
 
Naunga mkono hoja ligi bado mechi 6 ila kuna mechi ya round ya kwanza timu hazijacheza sijawahi kuisikia wala kuona hii!refer Yanga na Azam same kwa Simba na Mtibwa sijajua Yanga na Azam sababu ni nini ikiwa Simba watasingizia mechi za Kimataifa
 
kwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12

ama timu kucheza kila baada ya siku 2

ama backpass kuwa offside

ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
Niliwahi kuona mechi inatoka mtwara kuja Dar kisa timu moja ikabidhiwe kombe tu
 
Mwamuzi anaruhusiwa kuanzisha mpira kukiwa na wachezaji saba ndani akiwamo golikipa hivyo kwa golikipa wa Singida United kuwa nje ya uwanja na mwamuzi kuruhusu mpira uendelee alikuwa amevunja sheria,nitaitafuta niweke hapa.
Hili la timu kuwa na viporo zaidi ya 12 ni maajabu yanayopatikana tanzania pekee,hakuna maajabu kama hayo duniani kote zaidi unayapata hapa Bongo Darisalama kwenye soko lililojaa kila aina ya ubabaishaji na mkumbuke msimu ambao Yanga anashiriki mashindano ya KImataifa yule msema hovyo wa Simba alilalamika sana Yanga kuwa na viporo ambavyo hata vilikuwa havifiki sita lakini kibao kimegeukia kwao amekuwa kimya kama mbwa kabanwa na mjusi.
Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini
Hivi iyo sheria inasema kipa akiwa uwanjani timu ikiwa pungufu lazima kipa awepo au... Hata akipigwa chenga akabaki nje ya uwanja inabidi mpaka arudi golini?
Mi najua kipa tayari alikuwa kwenye mchezo labda kama alichezewa rafu.
 
Mwamuzi anaruhusiwa kuanzisha mpira kukiwa na wachezaji saba ndani akiwamo golikipa hivyo kwa golikipa wa Singida United kuwa nje ya uwanja na mwamuzi kuruhusu mpira uendelee alikuwa amevunja sheria,nitaitafuta niweke hapa.
Hili la timu kuwa na viporo zaidi ya 12 ni maajabu yanayopatikana tanzania pekee,hakuna maajabu kama hayo duniani kote zaidi unayapata hapa Bongo Darisalama kwenye soko lililojaa kila aina ya ubabaishaji na mkumbuke msimu ambao Yanga anashiriki mashindano ya KImataifa yule msema hovyo wa Simba alilalamika sana Yanga kuwa na viporo ambavyo hata vilikuwa havifiki sita lakini kibao kimegeukia kwao amekuwa kimya kama mbwa kabanwa na mjusi.
Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini
Viporo 12 ni vingi ila hata Yanga kucheza mechi 10+ HOME sio sawa alipendelewa.. mbona husemi
 
Unamkumbuka yule aliesema simba haitakuja chukua ubingwa akiwa ye madarakani pale TFF?
Mbona hukulalamika
Namkumbuka... na kweli alifanikiwa
msimu wa mwaka juzi AJIBU alifunga goli halali nje ya 18 TENA HALALI refa akasema OFFSIDE.
ILA lile la TAMBWE akakubali.. MKUDE akala kadi NYEKUNDU tukabaki pungufu.. KICHUYA akapiga kona hadi ndani.
Msimu huo MSUVA peke yake alifunga PENALT zaidi ya 5 na kukosa kama 3 hv jumla 8 peke yake.
GAME YA PILI tuliwapiga tukiwa pungufu pia.. msimu huo walituzidi kwa magoli tu.
 
Malalamiko haya ni halali, hakuna ligi duniani kote timu moja iwe na viporo 23 huku zingine zimebaki na mechi 5. Huu ukikuwa mpango wa TFF kuiwezesha Simba. Faida ya viporo 23 ni kufanya biashara kwa timu ambazo hazina matumaini ya kuchukua ubingwa wala kushuka daraja kuuza mechi. TFF imulikwe kwa hili.
FA CUP FINAL UTAKUWA WAPI?.. Azam vs Lipuli
 
Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa

Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.

Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.

Kuna jambo ungelisema ungeonekana una hoja ya msingi, lakini vinginevyo wewe ni lipumbavu kama wengine wanobakia kulalamika bila kusema wanalalamikia nini hasa.

Ulitakiwa useme hayo madudu ni yapi huku ukitoa mifano halisi ya madudu hayo... kwa sababu mwisho wa siku tunachokisoma kwenye bandiko lako ni hisia zako kwenye ligi ya tanzania na sio fact.

upumbavu mwingine uwe unadiscuss na mke wako tu, maana ndo anayeweza kukusapoti hata ukiongea nonsence... next time uje umejipanga mbwa wewe.
 
Mkuu mechi ya Azam goli la NGOMA nayo mngeshinda?.. halafu mbona kucheza mechi 10+ HOME husemi?
Vipi FA cup tumebebwa?
Effect za viporo ni rahisi sana kupanga matokeo mfano kuna timu zinakua haziendi popote hata zishinde hivo ni rahisi kushawishika na timu yenye viporo vingi kama ikihitaji sana matokeo ili kumpita yule mshindani wake kwa wakati huo.
Pili inamuongezea morale mwenye viporo mfano najua kua anaeongoza ligi timu ABC ana point 90 na labda kamaliza mechi zake tayari na Mimi nikimaliza mechi za viporo nitakua na point labda 91 hapa morale ninayoiongelea n ya kupata matokeo kwa njia yoyote ile.. Iwe halali au sio halali
Binafsi Mimi ni mshabiki wa Yanga ila naongea kiuhalisia na ukweli yanga tulipotea zile sare mbili kwanza na coastal pili na singida halafu tukafungwa na lipuli lakini bado tungeweza kushinda ubingwa kama simba asingepata point sita za mbeleko. Game ya kwanza na kmc (nadhan hii ndio refa kambuzi alifungiwa) na mechi ya pili na jkt
 
Kumbe Simba viporo vyake atakuwa amecheza mechi 42 sio 38?
Viporo vina uhusiano na kupanga matokeo na timu ambayo imebakiza mechi moja imeshashuka au haina uwezo wa kubeba Ubingwa wala kushuka na imebaki mechi moja wakati wewe bado mechi 9,Reasoning y a mikia wengi inafanana so Rage aliwafahamu vizuri tu
Nikuulize kulikua na sababu gani hadi mechi 6 zimebaki ligi iishe ila Simba hajacheza na Mtibwa mechi ya raundi ya kwanza (Yaani kwenye mechi 6,mbili atacheza na Mtibwa) same to Yanga na Azam uliona ligi ya wapi hayo
 
matusi ya nini mkuu...tumia common sense kuheshim wazo la binadam mwenzako!

Back
Top Bottom