Atakuambia SportPesa ni simbaSportpesa mmekosa.
F.A mmekosa
Mapinduzi mmekosa
Kagame Cup mmekosa
TPL mmekosa
Ina maana hata Sportpesa mlikoseshwa na TFF ?
Ambao hawakuhusika na chochote...!
Wacheni visingizio.
Chezeni Mpira
Mshinde mechi zenu.
FAINALI YA FA Yanga mtashangilia timu gani?marefa wamechangia sana ubingwa wa simba, sio uwezo wa wachezaji
Kwa maoni yangu, siku nyingine ukiandika mada, jaribu kutoa hoja na mifano hai, ili tuelewe unachozungumzia, maana umelaumu TFF, bodi ya ligi na chama cha marefa, bila kusema hata kitu kimoja walichokosea.Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa
Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.
Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.
Hoja ni kwamba TFF wanaibeba Simba..Unakwepa hoja....
Niliwahi kuona mechi inatoka mtwara kuja Dar kisa timu moja ikabidhiwe kombe tukwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12
ama timu kucheza kila baada ya siku 2
ama backpass kuwa offside
ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
Hivi iyo sheria inasema kipa akiwa uwanjani timu ikiwa pungufu lazima kipa awepo au... Hata akipigwa chenga akabaki nje ya uwanja inabidi mpaka arudi golini?Mwamuzi anaruhusiwa kuanzisha mpira kukiwa na wachezaji saba ndani akiwamo golikipa hivyo kwa golikipa wa Singida United kuwa nje ya uwanja na mwamuzi kuruhusu mpira uendelee alikuwa amevunja sheria,nitaitafuta niweke hapa.
Hili la timu kuwa na viporo zaidi ya 12 ni maajabu yanayopatikana tanzania pekee,hakuna maajabu kama hayo duniani kote zaidi unayapata hapa Bongo Darisalama kwenye soko lililojaa kila aina ya ubabaishaji na mkumbuke msimu ambao Yanga anashiriki mashindano ya KImataifa yule msema hovyo wa Simba alilalamika sana Yanga kuwa na viporo ambavyo hata vilikuwa havifiki sita lakini kibao kimegeukia kwao amekuwa kimya kama mbwa kabanwa na mjusi.
Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini
Viporo 12 ni vingi ila hata Yanga kucheza mechi 10+ HOME sio sawa alipendelewa.. mbona husemiMwamuzi anaruhusiwa kuanzisha mpira kukiwa na wachezaji saba ndani akiwamo golikipa hivyo kwa golikipa wa Singida United kuwa nje ya uwanja na mwamuzi kuruhusu mpira uendelee alikuwa amevunja sheria,nitaitafuta niweke hapa.
Hili la timu kuwa na viporo zaidi ya 12 ni maajabu yanayopatikana tanzania pekee,hakuna maajabu kama hayo duniani kote zaidi unayapata hapa Bongo Darisalama kwenye soko lililojaa kila aina ya ubabaishaji na mkumbuke msimu ambao Yanga anashiriki mashindano ya KImataifa yule msema hovyo wa Simba alilalamika sana Yanga kuwa na viporo ambavyo hata vilikuwa havifiki sita lakini kibao kimegeukia kwao amekuwa kimya kama mbwa kabanwa na mjusi.
Tuendelee kunywa mtori nyama zipo chini
Kwani timu kucheza game 10 nyumbani umewahi kuona.Maelezo meeeengiiii JIBUNI KAMA MMEWAHI ONA TIMU INA VIPORO 12....
Zahera alisema msimu ukiisha hataki kusikia mtu pale Yanga anamuuliza kuhusu ubingwa"Yaani washkaji TFF wamekuwa bwabwa kabisa kwa Mo.
Namkumbuka... na kweli alifanikiwaUnamkumbuka yule aliesema simba haitakuja chukua ubingwa akiwa ye madarakani pale TFF?
Mbona hukulalamika
FA CUP FINAL UTAKUWA WAPI?.. Azam vs LipuliMalalamiko haya ni halali, hakuna ligi duniani kote timu moja iwe na viporo 23 huku zingine zimebaki na mechi 5. Huu ukikuwa mpango wa TFF kuiwezesha Simba. Faida ya viporo 23 ni kufanya biashara kwa timu ambazo hazina matumaini ya kuchukua ubingwa wala kushuka daraja kuuza mechi. TFF imulikwe kwa hili.
Ni hii mkuuHivi timu kucheza mechi 11 uwanja Wa nyumbani pasipo kutoka si tff hii au ni nyingne majibu plase
Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa
Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.
Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.
Effect za viporo ni rahisi sana kupanga matokeo mfano kuna timu zinakua haziendi popote hata zishinde hivo ni rahisi kushawishika na timu yenye viporo vingi kama ikihitaji sana matokeo ili kumpita yule mshindani wake kwa wakati huo.
Pili inamuongezea morale mwenye viporo mfano najua kua anaeongoza ligi timu ABC ana point 90 na labda kamaliza mechi zake tayari na Mimi nikimaliza mechi za viporo nitakua na point labda 91 hapa morale ninayoiongelea n ya kupata matokeo kwa njia yoyote ile.. Iwe halali au sio halali
Binafsi Mimi ni mshabiki wa Yanga ila naongea kiuhalisia na ukweli yanga tulipotea zile sare mbili kwanza na coastal pili na singida halafu tukafungwa na lipuli lakini bado tungeweza kushinda ubingwa kama simba asingepata point sita za mbeleko. Game ya kwanza na kmc (nadhan hii ndio refa kambuzi alifungiwa) na mechi ya pili na jkt
Hiyo logic ndogo akicheza 10 nyumban si atacheza 10 away pia,Rage hakukoseaViporo 12 ni vingi ila hata Yanga kucheza mechi 10+ HOME sio sawa alipendelewa.. mbona husemi
Kumbe Simba viporo vyake atakuwa amecheza mechi 42 sio 38?Hiyo logic ndogo akicheza 10 nyumban si atacheza 10 away pia,Rage hakukosea
Viporo vina uhusiano na kupanga matokeo na timu ambayo imebakiza mechi moja imeshashuka au haina uwezo wa kubeba Ubingwa wala kushuka na imebaki mechi moja wakati wewe bado mechi 9,Reasoning y a mikia wengi inafanana so Rage aliwafahamu vizuri tuKumbe Simba viporo vyake atakuwa amecheza mechi 42 sio 38?
Kuna jambo ungelisema ungeonekana una hoja ya msingi, lakini vinginevyo wewe ni lipumbavu kama wengine wanobakia kulalamika bila kusema wanalalamikia nini hasa.
Ulitakiwa useme hayo madudu ni yapi huku ukitoa mifano halisi ya madudu hayo... kwa sababu mwisho wa siku tunachokisoma kwenye bandiko lako ni hisia zako kwenye ligi ya tanzania na sio fact.
upumbavu mwingine uwe unadiscuss na mke wako tu, maana ndo anayeweza kukusapoti hata ukiongea nonsence... next time uje umejipanga mbwa wewe.