YANGA NAO WATATENGENEZA KITU CHA KUAHIRISHA MECHI

Mtemi01

Member
Joined
Dec 23, 2023
Posts
28
Reaction score
58
Kwa aina hii ya udhaifu wa uongozi wa TFF/TPBL, sitashagaa mechi ya Simba na Yanga ikaendelea kupigwa kalenda.

Najaribu kuwaza, kwa kuwa Yanga wamedhamiria kutocheza, siku ikipangwa tarehe ya game wao wanaweza kwenda mazoezini na coaster moja movu wakalitupa mtaroni siku moja kabla ya mechi na wakatangaza wachezaji wao wengi ni majeruhi hivyo hawatacheza hadi wapone. Au wakatunga kisa chochote tu ilimradi wanajua sababu za mechi ya Simba na Yanga kuahirishwa ni simple tu.

TFF/TPBL wanatakiwa kubadilika sana
 
Hayo yooote kisa hamtaki kumkaba Mpanzu?
 
Back
Top Bottom