Yanga naona mmefanikiwa kuhonga marefa wa CAF msipochukua ubingwa ndiyo basi tena

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.

Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.
 
Mimi sio shabiki wa mpira.

Ila wewe ni kati ya mashabiki waliopungukiwa akili ambao Simba ikishinda wanatafuta sababu ili ionekane mbovu wakati huo huo Yanga wakishinda wanaonekana wameshinda kwasababu ambazo hazina mashiko.

Mashabiki wa Simba na Yanga jitahidi kuwa na uwezo wa kufikiri kidogo.
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo.Mnacheza faulo refa anapeta,mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano,wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.
Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga

Kweli ngozi nyeusi tumelaaniwa

Ss walipo bebwa ni wapi?

Ttzo ni hamkutegemea km Yanga wanaweza kugeuza kibao cha kwa Mkapa hatoki mtu
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo.Mnacheza faulo refa anapeta,mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano,wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.
Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga
Kaongeni na nyie si mnamilikiwa na yule kanjibahi
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo.Mnacheza faulo refa anapeta,mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano,wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.
Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga
Waangalie waliohonga wazee wa kuota moto nchi za watu na kurudi kinyume nyume,jana ilitakiwa kuwa droo.
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo.Mnacheza faulo refa anapeta,mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano,wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.
Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga
Usisikitike sana Mkuu. Nenda CAF uchukue kipenga uwe unachezesha mechi zote wanazocheza YANGA.
 
Na hawa je tusemeje? Mbona kama umeongea kinyumenyume vile[emoji848][emoji848]
20230308_201510.jpg
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo.Mnacheza faulo refa anapeta,mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano,wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.
Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga
Akili yako imejaa kinyesi kama sio utahaira wa kuzaliwa nao, tutahonga mpaka fifa kudadadeki ili ujinyonge vizuri🚮🚮🚮
 
Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.

Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.
Makolokolo/Mbumbumbu/Makelele/Malalamiko/Mikia/Manyaunyau/Ngada/Zuwena/Kolowizards/Kinyume nyume/Madunduka FC hamjawahi kuwa na akili tangu dunia iumbwe na hamtakuwa nazo hadi mzeeke na mfe maana mmekaa kichawichawi mno [emoji23]
 
Back
Top Bottom