Ninaangalia jinsi mnavyobebwa mechi ya leo. Mnacheza faulo refa anapeta, mnacheza dangerous play mnabembelezwa kwa kadi ya njano, wapinzani wanazuiwa kushambulia kwa off side za mchongo.
Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.
Jitahidini mchukue ubingwa ili vile vinjiti vyetu viendelee kuchonga.