Yanga nawaomba msitishe mara Moja mpango wa kumleta Coach Rakotondrabe wa Madagascar

Thomas Tuchel anachemka timu ya Taifa?

Mzee hizi mechi unaangalizia Tv ya Mwamposa?
 
Sikubaliani nawe kwenye 1,2 & 3 huko kwingine nakubaliana na wewe

1.Ulikuwa wakati sahihi kumuuza Aziz Ki kwa umri aliokuwa nao,alichokifanya nyuma na fedha aliyonunuliwa ,Aziz Ki aliondoka kabla msimu haujaisha lakini timu ilikuwa inacheza vizuri na kwa wakati ule hakuna aliyeona pengo la Aziz Ki wapo wachezaji wengi wanaoweza kucheza no 10 ingawa wana profile tofauti na Aziz,Mudathir alicheza vizuri no 10 (simaanishi Muda ni bora kuliko Aziz).Dumbia ni no 8 ingawa kwa sasa analazimishwa kucheza no 10

2. Mchezaji anapoondoka sio lazima apatikane mrithi wake (kama alivyokuwa yeye),nani alikuwa mrithi wa Bangala,nani alikuwa mrithi wa Mayele? Aucho ni mmoja ya key players kwenye mafanikio ya Yanga (Diarra,Job,Bacca,Mayele,Aziz,Pacome ) kwa umri wake ilikuwa wakati sahihi kuachana nae na kutafuya mrithi kijana profile yake ni tofauti kabisa na Balla Conte moja ya wachezaji adimu sana kuwapata ni no 6,Profile ya Aucho (controler) ni tofauti na Balla Conte (destroyer) ,Yanga wana viungo wengi sana Kouma,Max,Conte,Muda,Aziz,Abuya,Doumbia,wale wazenji tatizo kubwa ni kocha kushindwa kutengeneza combination nzuri ya viungo aliokuwa nao

3.Dube & Boyel uchezaji wao ni tofauti na ni bora kuwa na wachezaji wenye profile tofauti kutegemea na aina ya mpinzani again tatizo kubwa ni kocha ameshindwa kutengeneza mfumo unaomfaa Boyel.

Kosa kubwa walilofanya viongozi ni kumuachia Miloud kuondoka na replacement yake wamechukua kocha mwenye ujuzi mdogo na asiye na uzoefu.Baada ya Nabi,Gamondi,Miloud Yanga walipaswa kutafuta kocha mzoefu na soka la Africa hasa aliewahi kuchukua ubingwa wa Africa kwa miaka ya karibuni
 
Uko sahihi mkuu
 
Yaani ccm inawabagaza wabongo inavotaka na hakuna pa kutokea. Mnapopewa siasa za goli mama mnashangilia, in return viongozi wa utopolo wakimuunga mkono mama mnanuna. Dadeki
 
Yaani ccm inawabagaza wabongo inavotaka na hakuna pa kutokea. Mnapopewa siasa za goli mama mnashangilia, in return viongozi wa utopolo wakimuunga mkono mama mnanuna. Dadeki
CCM wametuharibia morali ya timu yetu
 
Yaani ccm inawabagaza wabongo inavotaka na hakuna pa kutokea. Mnapopewa siasa za goli mama mnashangilia, in return viongozi wa utopolo wakimuunga mkono mama mnanuna. Dadeki
Una uhakika mimi ni mmoja ya watu wanaoshangilia huo upuuzi! Mimi ni mlipa kodi, kwa hiyo usitegemee hata siku moja kufurahia hela tunazolipa TRA, halafu zinachezewa na wanasiasa kwenye mambo ya hovyo.
 
Basi wewe ni tofauti na wabongo wengi kimtazamo
 
Hersi alivyojiona ana akili sana akaenda mchukua Folz. Hapa ndo niliona kweli jamaa kajawa na ujuaji, alipoona timu imepoteza kule mkoani kwa mpira mbovu akagoma kumfukuza, hapa nikaona jamaa ni kiburi sana, madaraka yamemlevya.
 
Tumpe muda
Uongozi wa mpira kuteleza ni kawaida
 
Umemsahau Maxio Maximo, Micho, Didier Gomez da Rosa, Boniface Mkwasa, Hemed Morocco akienda vilabu anakuwa mbugila tu na wengine wengi.
 
Umemsahau Maxio Maximo, Micho, Didier Gomez da Rosa, Boniface Mkwasa, Hemed Morocco akienda vilabu anakuwa mbugila tu na wengine wengi.
Micho alikuwa mtu aiseee. Tumpe heshima yake.
 
Kwani si tulikubaliana kuwa Doumbia ni mali na kila aingiapo mchezo hubadilika kabisa!?

Yanga mmeshafeli mapema ila kwakuwa wapinzani wenu hawako serious basi mtaendelea kusumbua mjini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…