Yanga ndani ya kimvuli cha Mazembe ya zamani

Tatizo ni usela mwingi wa viongozi,yaani uhuni tuu,sasa mtu kama bangala na lomalisa ni wa kulipwa ada ya usajili nusu nusu kweli??
 
Kumbe yanga yenyewe inawaza makundi ya club bingwa wakati wenzao tunawaza nusu huko makundi tulishapita zamani
 
Mko wengi
Your browser is not able to display this video.
 
Uzuri wa timu haupatikani kwenye kombe la losers.
Yanga akiingia anga za al ahly, raja, wac, sundown, esperence, petro atletico, far rabat etc, na akatoka mzima, kwa kuchukua kombe la caf cl. Ndiyo tunaweza kuilinganisha na tp mazembe ya kalaba, samata, etc
 
Hana uwezo!!! usimalize everything is possible yanga hata kulichukua anaweza but hakuna mwenye uhakika
Yanga aingie Makundi CL Al Hilal ya [emoji1232] watakua wana waangalia tyuuh?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga kucheza shirikisho imekuwa timu nzuri? Usifananishe CAF Champion League na CAF Confederation CUP.
Yanga ameingia CAF champion league amecheza mechi mbili tu Zalan na Al Hilali. Biashara yake ndiyo iliishia hapo.
Yanga imekuwa inazungumziwa sana kuhusu mechi za kimataifa kwasababu
1. Waliendelea kucheza shirikisho
2. Watu hawajui kuhusu CAF Champion League na CAF Confederation Cup.
Kimataifa Simba ni bora kuliko Yanga kwasababu
A. Msimu wa mwaka juzi uliopita Yanga sijui ilicheza mechi 2 ikawa imetoka lakini Simba ilifika robo fainali shirikisho
B. Msimu mwaka jana na huu Simba imecheza CAF Champion League mpaka robo fainali na haijacheza shirikisho lakini Yanga imecheza mechi mbili tu Zalan na Al Hilal
Msimu unaokuja jiandae kukutana na timu mojawapo kati ya hizi Al Ahly, Al Hilal, Wydad, Mamelod na Raja. Kuivunja rekodi ya Simba kimataifa bado sana.
Swali: Timu ya Sevilla iliyochukua kombe la UEFA Europa league ni timu bora kuliko Real Madrid iliyofungwa magoli 4-0 kwenye nusu fainal UEFA Champion League.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…