Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kuna anae bisha?
Kama unabisha ilete timu yako uwanjani.
Aidha wakati mnaendelea kuumia, uwekezaji wa Yanga ni serious business guys we are not joking and very straightforward.
Na very soon Yanga tuanze kujifananisha na timu kama Alhly na lengo kuu ni kumiliki soka la Africa. Malengo yetu ni realistic , sio unaweka malengo ya kucheza nusu fainal huku uwekezaji upo social media chini ya yule mropokaji.
Investment ni uwanjani na investment ikiwa nzuri kwa pitch , huitaji msemaji mropokaji
Kombe la NBC tutaendelea kulichukua hadi tunakapoamua sisi the otherwise , na kila mtoto anaezaliwa kwa sasa ni Mwananchi yaani Dar Young African, aidha nyie wengine tunawashukuru kwa kuwa washiriki wazuri.
Kikosi cha Yanga tumekiunda in a very serious business kwa takriban four years and we are here to stay, never to change .
Kama kuna mtu yeyote anaesubiri Yanga itashuka, unatakiwa kuendelea kuamini kama ahadi ya Yesu kurudi duniani.
Nyie wengine kwa kuwa kuna uwekezaji wa mchongo na mmeendelea kujaza matapeli kwenye bodi na benchi la ufundi pamoja na Kamati ya Usajili, muendelee kunyosheana vidole hadi mjute, na mkitaka kumuona mchawi wenu, nendeni kwenye kioo mtamuona
Influencer