Yanga ndio Timu Bora Kwa sasa ukanda wa East Africa+DRC

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Kuna anae bisha?

Kama unabisha ilete timu yako uwanjani.

Aidha wakati mnaendelea kuumia, uwekezaji wa Yanga ni serious business guys we are not joking and very straightforward.

Na very soon Yanga tuanze kujifananisha na timu kama Alhly na lengo kuu ni kumiliki soka la Africa. Malengo yetu ni realistic , sio unaweka malengo ya kucheza nusu fainal huku uwekezaji upo social media chini ya yule mropokaji.

Investment ni uwanjani na investment ikiwa nzuri kwa pitch , huitaji msemaji mropokaji

Kombe la NBC tutaendelea kulichukua hadi tunakapoamua sisi the otherwise , na kila mtoto anaezaliwa kwa sasa ni Mwananchi yaani Dar Young African, aidha nyie wengine tunawashukuru kwa kuwa washiriki wazuri.

Kikosi cha Yanga tumekiunda in a very serious business kwa takriban four years and we are here to stay, never to change .

Kama kuna mtu yeyote anaesubiri Yanga itashuka, unatakiwa kuendelea kuamini kama ahadi ya Yesu kurudi duniani.

Nyie wengine kwa kuwa kuna uwekezaji wa mchongo na mmeendelea kujaza matapeli kwenye bodi na benchi la ufundi pamoja na Kamati ya Usajili, muendelee kunyosheana vidole hadi mjute, na mkitaka kumuona mchawi wenu, nendeni kwenye kioo mtamuona

Influencer
 
Unajua maana ya timu bora?ligi ya NBC inatambulika Africa mashariki na kati?Jibu ni kwamba NBC haitambuliki popote zaidi ya kwa mtogole na buza,kuwa timu bora sio kazi rahisi...au mnadanganywa na hawa waandishi wa habari makanjanja wenye njaa kali wanaopewa laptop ili kuipa airtime timu ndogo kama yanga.

Sikia, timu bora Afrika mashariki na kati ni timu ambayo imefanya vizuri katika ligi za kimataifa kwa muda mrefu katika ligi ya club bingwa..na timu hiyo ni SIMBA SC
Hii yanga ndio imeingia juzi hatua ya makundi baada ya kujitafuta kwa miaka 28,wakati Simba sc inacheza kila siku club bingwa miaka yote tokea nchi ipate uhuru..Simba mbali na kucheza makundi ya club bingwa sana,imefika robo mara tano...imefika nusu fainal ya club bingwa mwaka 1974,kwenye ile kombe la loser(shirikisho)Simba sc imecheza fainal 1993..Rais wako Mama Samia aliwathibitishia juzi mlipo cheza final ya shirikisho,akawaambia mlipo wenzenu walifika siku nyingi.

Ukubwa wa yanga ipo wap?au kwenye hizi ligi za ndani zinazochezeshwa na waamuzi wabovu ambao huipa matokeo timu mbovu kwenye ligi ya NBC?

Na nakuhakikishia yanga haiwezi kufika robo club bingwa mtaishia makundi nipo nimekaa hapa.

Na mechi ambayo yanga imeshinda juzi dhidi ya medeana ndio mechi ya kwanza yanga kushinda katika ligi ya club bingwa tokea kuanzishwa kwa yanga na kuumbwa kwa Dunia..na medeana ni ya 59 kwa ubora bara ya Afrika..just image

Simba imecheza Super ligi juzi ligi ambayo zinacheza timu 8 bora barani Afrika..nalo hilo mkuliona?ukubwa Simba huo.

Simba sc imechaguliwa na FIFA(FIFA ni shirika la mpira wa miguu duniani) kuwania kombe la Dunia 2025 na TFF,CUF na FIFA kwenye mafile na takwimu zao inayonyesha Simba sc ndio Timu kubwa na bora na ya kwanza Tanzania,Afrika mashabiki na kati na ni timu namba 7 kwa ubora na ukubwa barani Afrika ..imethinitishwa..hii yanga ya waandishi.makanjanja ipo wap?

Juzi Ahy Ahy ilipo tua Tanzania waandishi makanjanja wakaenda kuwahoji kwa kutumia maswali ya mtego ili kufanyajustification ya upumbavu na ujinga wao..ila muarabu aliyeandikwa katika vitabu vyote vya dini akawaambia Simba sc ni timu kubwa barani Afrika na namba moja Tanzania.Hiyo yanga hawaijui ila wanahisi ni namba 2 Tanzania.
 
Kama akina As vita, Tp Mazembe , orando , kaizer wameshuka halafu uto inaweka dhamana utajiri wa GSM kuwa haiwezi kushuka. Uto ya kipindi cha Manji ilikuwa na mashabiki maandazi kama hivi hivi huku wakiamini hawawezi kushuka na kuwacheka simba kuwa ni wa matopeni. Lakini uto ikashuka na simba ikatawala.
 
Unajua maana ya timu bora?ligi ya NBC inatambulika Africa mashariki na kati?Jibu ni kwamba NBC haitambuliki popote zaidi ya kwa mtogole na buza,kuwa timu bora sio kazi rahisi...au mnadanganywa na hawa waandishi wa habari makanjanja wenye njaa kali wanaopewa laptop ili kuipa airtime timu ndogo kama yanga.

Sikia, timu bora Afrika mashariki na kati ni timu ambayo imefanya vizuri katika ligi za kimataifa kwa muda mrefu katika ligi ya club bingwa..na timu hiyo ni SIMBA SC
Hii yanga ndio imeingia juzi hatua ya makundi baada ya kujitafuta kwa miaka 28,wakati Simba sc inacheza kila siku club bingwa miaka yote tokea nchi ipate uhuru..Simba mbali na kucheza makundi ya club bingwa sana,imefika robo mara tano...imefika nusu fainal ya club bingwa mwaka 1974,kwenye ile kombe la loser(shirikisho)Simba sc imecheza fainal 1993..Rais wako Mama Samia aliwathibitishia juzi mlipo cheza final ya shirikisho,akawaambia mlipo wenzenu walifika siku nyingi.

Ukubwa wa yanga ipo wap?au kwenye hizi ligi za ndani zinazochezeshwa na waamuzi wabovu ambao huipa matokeo timu mbovu kwenye ligi ya NBC?

Na nakuhakikishia yanga haiwezi kufika robo club bingwa mtaishia makundi nipo nimekaa hapa.

Na mechi ambayo yanga imeshinda juzi dhidi ya medeana ndio mechi ya kwanza yanga kushinda katika ligi ya club bingwa tokea kuanzishwa kwa yanga na kuumbwa kwa Dunia..na medeana ni ya 59 kwa ubora bara ya Afrika..just image

Simba imecheza Super ligi juzi ligi ambayo zinacheza timu 8 bora barani Afrika..nalo hilo mkuliona?ukubwa Simba huo.

Simba sc imechuliwa na FIFA kuwania kombe la Dunia 2025 na TFF,CUF na FIFA kwenye mafile na takwimu zao inayonyesha Simba sc ndio Timu kubwa na bora na ya kwanza Tanzania,Afrika mashabiki na kati na ni timu namba 7 kwa ubora na ukubwa barani Afrika ..imethinitishwa..hii yanga ya waandishi.makanjanja ipo wap?

Endelea kuwa na denial . Mmecheza shirikisho mara ngapi? Mmefika hata nusu for the past 40 yrs ?

Sisi tumefika fainal.

After all naona denial kubwa, leta timu uwanjani tuamue nani

Tupo kwenye serious business, deep down you have to accept that
 
We hata unachokiongea hulijui na ulichoandika hakieleweki.
 
Endelea kuwa na denial . Mmecheza shirikisho mara ngapi? Mmefika hata nusu for the past 40 yrs ?

Sisi tumefika fainal.

After all naona denial kubwa, leta timu uwanjani tuamue nani

Tupo kwenye serious business, deep down you have to accept that

Tumejenga kikosi kwa miaks 4

Kama utaendeleza ubishi

Lete timu yako
 
Kama akina As vita, Tp Mazembe , orando , kaizer wameshuka halafu uto inaweka dhamana utajiri wa GSM kuwa haiwezi kushuka. Uto ya kipindi cha Manji ilikuwa na mashabiki maandazi kama hivi hivi huku wakiamini hawawezi kushuka na kuwacheka simba kuwa ni wa matopeni. Lakini uto ikashuka na simba ikatawala.

YANGA sio as vita
 
Kuna anae bisha?

Kama unabisha ilete timu yako uwanjani.

Aidha wakati mnaendelea kuumia, uwekezaji wa Yanga ni serious business guys we are not joking and very straightforward.

Na very soon Yanga tuanze kujifananisha na timu kama Alhly na lengo kuu ni kumiliki soka la Africa. Malengo yetu ni realistic , sio unaweka malengo ya kucheza nusu fainal huku uwekezaji upo social media chini ya yule mropokaji.

Investment ni uwanjani na investment ikiwa nzuri kwa pitch , huitaji msemaji mropokaji

Kombe la NBC tutaendelea kulichukua hadi tunakapoamua sisi the otherwise , na kila mtoto anaezaliwa kwa sasa ni Mwananchi yaani Dar Young African, aidha nyie wengine tunawashukuru kwa kuwa washiriki wazuri.

Kikosi cha Yanga tumekiunda in a very serious business kwa takriban four years and we are here to stay, never to change .

Kama kuna mtu yeyote anaesubiri Yanga itashuka, unatakiwa kuendelea kuamini kama ahadi ya Yesu kurudi duniani.

Nyie wengine kwa kuwa kuna uwekezaji wa mchongo na mmeendelea kujaza matapeli kwenye bodi na benchi la ufundi pamoja na Kamati ya Usajili, muendelee kunyosheana vidole hadi mjute, na mkitaka kumuona mchawi wenu, nendeni kwenye kioo mtamuona

Influencer
Ubora unatakiwa kuonekana sio wasafi na cloud's!
 
Unajua maana ya timu bora?ligi ya NBC inatambulika Africa mashariki na kati?Jibu ni kwamba NBC haitambuliki popote zaidi ya kwa mtogole na buza,kuwa timu bora sio kazi rahisi...au mnadanganywa na hawa waandishi wa habari makanjanja wenye njaa kali wanaopewa laptop ili kuipa airtime timu ndogo kama yanga.

Sikia, timu bora Afrika mashariki na kati ni timu ambayo imefanya vizuri katika ligi za kimataifa kwa muda mrefu katika ligi ya club bingwa..na timu hiyo ni SIMBA SC
Hii yanga ndio imeingia juzi hatua ya makundi baada ya kujitafuta kwa miaka 28,wakati Simba sc inacheza kila siku club bingwa miaka yote tokea nchi ipate uhuru..Simba mbali na kucheza makundi ya club bingwa sana,imefika robo mara tano...imefika nusu fainal ya club bingwa mwaka 1974,kwenye ile kombe la loser(shirikisho)Simba sc imecheza fainal 1993..Rais wako Mama Samia aliwathibitishia juzi mlipo cheza final ya shirikisho,akawaambia mlipo wenzenu walifika siku nyingi.

Ukubwa wa yanga ipo wap?au kwenye hizi ligi za ndani zinazochezeshwa na waamuzi wabovu ambao huipa matokeo timu mbovu kwenye ligi ya NBC?

Na nakuhakikishia yanga haiwezi kufika robo club bingwa mtaishia makundi nipo nimekaa hapa.

Na mechi ambayo yanga imeshinda juzi dhidi ya medeana ndio mechi ya kwanza yanga kushinda katika ligi ya club bingwa tokea kuanzishwa kwa yanga na kuumbwa kwa Dunia..na medeana ni ya 59 kwa ubora bara ya Afrika..just image

Simba imecheza Super ligi juzi ligi ambayo zinacheza timu 8 bora barani Afrika..nalo hilo mkuliona?ukubwa Simba huo.

Simba sc imechaguliwa na FIFA(FIFA ni shirika la mpira wa miguu duniani) kuwania kombe la Dunia 2025 na TFF,CUF na FIFA kwenye mafile na takwimu zao inayonyesha Simba sc ndio Timu kubwa na bora na ya kwanza Tanzania,Afrika mashabiki na kati na ni timu namba 7 kwa ubora na ukubwa barani Afrika ..imethinitishwa..hii yanga ya waandishi.makanjanja ipo wap?

Juzi Ahy Ahy ilipo tua Tanzania waandishi makanjanja wakaenda kuwahoji kwa kitumia maswali ya mtego ili kufajustification ya upumbavu na ujinga wao..ila muarabu aliyeandikwa katika vitabu vyote vya dini akawaambia Simba sc ni timu kubwa barani Afrika na namba moja Tanzania.Hiyo yanga hawaijui ila wanahisi ni namba 2 Tanzania.
Kweli rage hakukosea ..
 
Ubora unatakiwa kuonekana sio wasafi na cloud's!

Lete timu yako tukuoneshe ubora wa Yanga

JKU umepata shida kumfunga, JAMHURI tumemfunga as much as tulivowafunga, injinia akapokea simu ya mwinyi kuwa inatosha

Kama unaona Jamhuri ni underdog, wewe pia tulikulala goli tano

Na hata ukilete timu yako tena , tunakulala goli hizo hizo na huna cha kufanya
 
Unaongea wewe unajibu wewe unafikiri watu wote ni washabiki wa hizo timu mbili zisizo na maendeleo wengine tumeshtuka kitambo!
 
Kuna anae bisha?
FIFA na CAF wanabisha. Kila wakitoa orodha ya timu bora Afrika zinazotakiwa kushiriki mashindano yao maalum, Yanga haipo ila makolo wapo. Halafu Hersi amekuwa Rais wa vilabu vyote Afrika, cha ajabu ameiteua Simba kuwa ni bora mbele ya Yanga kushiriki michuano ya vilabu bora vya duniani
 
Back
Top Bottom