Yanga ndio timu pekee iliyoshinda mechi katika Nchi nyingi za kigeni

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Yanga inajivunia kionesha umamba katika Ardhi nyingi za kigeni kuliko timu yeyote Tanzania na Afrika Mashariki
  1. Misri
  2. Tunisia
  3. Nigeria
  4. Liberia
  5. Mauritania
  6. South Africa
  7. Congo Drc
  8. Algeria
  9. Rwanda
  10. Somalia
  11. Ethiopia
  12. Burundi
Loading..........

Ni timu inayotarajiwa kuweka rekodi nyingine ya kutinga nusu fainali ya Klabu Bingwa Afrika 2024/2025 licha ya kuburuza mkia katika mitoano.

Kama hutaki, kunywa sumu.
 
Ukiona unashinda ugenini na bado hukati tiketi mapema, tafsiri yake ni kwamba umefungwa mara nyingi pia nyumbani
 
Mara nyingi inaanzia ngapi?
Zozote zitakazofanya ushindwe kukata tiketi mapema. Mfano, ukipoteza mechi 1 kati ya 3 za nyumbani, hata ukishinda ugenini itabidi usubiri mahesabu kama ya siku ya mwisho
 
Zozote zitakazofanya ushindwe kukata tiketi mapema. Mfano, ukipoteza mechi 1 kati ya 3 za nyumbani, hata ukishinda ugenini itabidi usubiri mahesabu kama ya siku ya mwisho
Mechi nyingi za nyumbani alizopoteza yanga, ngapi?
 
Dah... kushinda timu za failed states kama Somalia, BurundI, n.k. mnajivunia hadi mnaingiza kwenye CV ya Utopolo!
 
Ila yanga na Simba kuna wakati Kwa mkapa wanatukosea Sana, mashabiki tunajitahidi Sana kuingia uwanjani, tofauti na waarabu hizi timu zingine zikiwa kwao viwanja vinakua tupu sana
 
Hii itabidi itengenezewe bango libandikwe Msimbazi.
 
Mmechelewa wapi kubandika bango ? Kila record iliyowekwa na wenzeni mkiifikia mnalazimisha watu nyekundu waione manjano. Kama joka la makengeza.
 
Wee yanga atamtoa al ahly kabisa..
 
Hivi Misri alishawahi kumfunga nani vile?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…