pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Tanzania nchi ya kulalamika na waoga wa kuchukua maamuzi, subiri ipo siku hats wewe utauzwa na Amna kitu utafanya.Badala ya kusikitika bandari inachukuliwa wewe unasikitikia yanga kufanya parade
Acha uwongo mzee wangu;.
Fainali ya shirikisho tena? Au ndo fa cup?Acha uwongo mzee wangu; hiyo parade waliyofanya Yanga ni kwa ushindi wa Ligi. Wakiamua wanaweza kufanya parade nyingine baada ya ushindi wa kombe la shirikisho...
Kombe la azam siyo la shirikisho? Akili fupi sana weweFainali ya shirikisho tena? Au ndo fa cup?
speculative and argumentative.Wakikandwa na Azam unafikiri hilo pared litapata watu?
Sawa akili ndefuKombe la azam siyo la shirikisho? Akili fupi sana wewe
... kwamba paredi inafanyika baada ya mashindano yote.Uongo wangu ni upi?
Tutakuuza wewe unayelalamikia mambo ya yanga kufanya parade unaacha mambo ya msingiTanzania nchi ya kulalamika na waoga wa kuchukua maamuzi, subiri ipo siku hats wewe utauzwa na Amna kitu utafanya.
Ushamba tu unawasumbua... kwamba paredi inafanyika baada ya mashindano yote.
mambo za kupangiana vitu zimeanza lini!!!Ukiangalia timu zote Huwa zinafanya parade baada ya kumaliza michuano Yao yote wanayoshiriki, Sasa yanga Bado hawajacheza fainani na Azam tayari wanafanya parade huo ni ushamba, wangesubiri wacheze fainali kwanza ili waunganishe.
Unateseka ukiwa wapi?Ukiangalia timu zote huwa zinafanya parade baada ya kumaliza michuano Yao yote wanayoshiriki. Sasa yanga bado hawajacheza fainali na Azam tayari wanafanya parade; huo ni ushamba, wangesubiri wacheze fainali kwanza ili waunganishe.
Huo ni ushamba unafanyaje parade ukiwa Bado kumaliza michuano yote!Unateseka ukiwa wapi?