BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
wenye akili ni wawiliiiUkiangalia timu zote huwa zinafanya parade baada ya kumaliza michuano Yao yote wanayoshiriki. Sasa yanga bado hawajacheza fainali na Azam tayari wanafanya parade; huo ni ushamba, wangesubiri wacheze fainali kwanza ili waunganishe.