Yanga ndiyo timu ya kwanza duniani kufanya parade kabla ya fainali

Yanga ndiyo timu ya kwanza duniani kufanya parade kabla ya fainali

Sifa za kijinga. Ndiyo maana bandari inauzwa nyie mnakanyagana kupokea birika la kuvutia shisha
 
FB_IMG_1682646137959.jpg
 
Mayele, Diarra, Aziz ki wameshaondoka
Musonda na Aucho baada ya mechi wanaondoka
PARADE ukiwa na wachezaji pungufu hainogii
#AuFanyeniNaNyie
 
kama furaha yao itawaua basi ni haki yao kufa kwa furaha na hawahitaji kolo yoyote kuwapangia namna ya kuesherehekea furaha yao. Au siyo mkuu
Ni ushamba tu na kutokujiamini.
 
Wajinga ndyo waliwao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
 
Back
Top Bottom