pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
Ukiangalia timu zote huwa zinafanya parade baada ya kumaliza michuano yao yote wanayoshiriki.
Sasa yanga bado hawajacheza fainali na Azam tayari wanafanya parade; huo ni ushamba, wangesubiri wacheze fainali kwanza ili waunganishe.