BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
wenye akili ni wawiliiiUkiangalia timu zote huwa zinafanya parade baada ya kumaliza michuano Yao yote wanayoshiriki. Sasa yanga bado hawajacheza fainali na Azam tayari wanafanya parade; huo ni ushamba, wangesubiri wacheze fainali kwanza ili waunganishe.
kama furaha yao itawaua basi ni haki yao kufa kwa furaha na hawahitaji kolo yoyote kuwapangia namna ya kuesherehekea furaha yao. Au siyo mkuuFuraha yao
kama furaha yao itawaua basi ni haki yao kufa kwa furaha na hawahitaji kolo yoyote kuwapangia namna ya kuesherehekea furaha yao. Au siyo mkuu
Ni ushamba tu na kutokujiamini.kama furaha yao itawaua basi ni haki yao kufa kwa furaha na hawahitaji kolo yoyote kuwapangia namna ya kuesherehekea furaha yao. Au siyo mkuu
Hata Manchester city walisubiri matokeo ya fainali ndipo wafanye parade.Umesahau kuwa parade linafanywa na Mabingwa tu