Yanga ni bora kuwa maskini jeuri kuliko haya

Yanga ni bora kuwa maskini jeuri kuliko haya

Ndo siasa mlizonazo Utopolo za kusema deal done wakati hamjamsainisha mkataba mchezaji.
Sasa alikua anamridhisha nani?
Luc analaumiwa tu kwa aliyoyasema.
Mna haki kuitwa Utopolo fc aka Manyani fc au Mambwa fc
Jitahidi usiongee na mbwa au nyani kama wewe si mmoja wao.
 
Ndo siasa mlizonazo Utopolo za kusema deal done wakati hamjamsainisha mkataba mchezaji.
Sasa alikua anamridhisha nani?
Luc analaumiwa tu kwa aliyoyasema.
Mna haki kuitwa Utopolo fc aka Manyani fc au Mambwa fc
Awesu wa kagera walitwambia DONE DEAL
MARA TUNASIKIA KASAJILIWA AZAM

Sent from my M4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom