Yanga ni bora kwa sasa CECAFA

Yanga ni bora kwa sasa CECAFA

Watu wana mavi kichwani..timu bora ukanda wa CECAFA kwa kumfunga TP Mazembe? Bangi sio chakula. Wenzako ni wa 9 kwa ubora Africa unaongea ufala hapa.

Lile kundi la Ahly, mamelody na cotton sports ungetoboa makundi ya CL ungekuwa umejificha unajikojolea tu
 
Kwa siku za karibuni ni dhahiri uto wameimarika na kua bora sana
Hii iwe mfano kwa wengine
Kwamba tukiwekeza kweli kwenye mpira ukafanya sajili makini basi mafanikio ni suala la muda
 
Kwa kombe lipi na kwa kucheza na timu gani?Hamna haja ya kupanda juu ya bati na kupiga mayowe kama vichaa.Mkifikia levels zitakiwazo mtakwezwa bila hiyana.
Take it🔥

Ipo hivi,

Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe.

Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako.

Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir

Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa. Tujivunie

View attachment 2574274
 
Take it🔥

Ipo hivi,

Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe.

Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako.

Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir

Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa. Tujivunie

View attachment 2574274
Timu bora Africa kwa sasa ni zile zilizoingia robo fainali Club bingwa Africa. Zingine zilizobaki ni just making numbers.
  1. Raja CA
  2. Mamelodi Sundowns
  3. ES Tunis
  4. CR Belouizdad
  5. Wydad AC
  6. Simba SC
  7. JS Kabylie
  8. Al Ahly
 
Kuna timu hata Arusha kwenye mkutano haikualikwa wakajipeleka wenyewe wakaishia kukaa nje baada ya kuambiwa jamani wanaohusika leo ni wakubwa tuu tanajadili mambo ya supa cup nyie wengine subirini mkue kwanza. Aibu sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barcelona katoka 16 bora EUROPA sevvila bado yupo so sevilla n bora kwa Barca?
Soma tena kichwa cha mada. Mnasema yanga ni bora cecafa maana yake kuliko timu zote zilizoko cecafa halafu wewe unaleta kulinganisha baina ya klabu mbili kwani ndio mada inavyosema hivyo?
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom