Tulia sasa. Mimi nimeiongelea Yanga.Wasema kweli? View attachment 2575005
Take it🔥
Ipo hivi,
Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe.
Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako.
Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir
Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa. Tujivunie
View attachment 2574274
Timu bora Africa kwa sasa ni zile zilizoingia robo fainali Club bingwa Africa. Zingine zilizobaki ni just making numbers.Take it🔥
Ipo hivi,
Yanga sc imevuna alama zote 6 kwa Tp Mazembe.
Imekomba alama 4 kati ya 6 kwa Real Bamako.
Imechukua alama 3 kati ya 6 kwa Us monastir
Kifupi Yanga sc kwa sasa ndio timu bora katika ukanda wetu huu wa Cecafa. Tujivunie
View attachment 2574274
Barcelona katoka 16 bora EUROPA sevvila bado yupo so sevilla n bora kwa Barca?Hakuna timu bora halafu inashiriki europa. Huo ndio ukweli na kama hujaelewa basi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna timu hata Arusha kwenye mkutano haikualikwa wakajipeleka wenyewe wakaishia kukaa nje baada ya kuambiwa jamani wanaohusika leo ni wakubwa tuu tanajadili mambo ya supa cup nyie wengine subirini mkue kwanza. Aibu sana
Mbona makasiliko, umeipenda mwenyeweTulia sasa. Mimi nimeiongelea Yanga.
Soma tena kichwa cha mada. Mnasema yanga ni bora cecafa maana yake kuliko timu zote zilizoko cecafa halafu wewe unaleta kulinganisha baina ya klabu mbili kwani ndio mada inavyosema hivyo?Barcelona katoka 16 bora EUROPA sevvila bado yupo so sevilla n bora kwa Barca?