Yanga ni bora tusingeshiriki Kagame. Mimi naona kama sisi kuna Kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo

Mashabiki wa Yanga hamnazo walikuwa busy na Haji manara na Mo na kusahau kuhusu team yao wanafikiria ugomvi ndo utavheza nao loh
 
Aliemleta Konde Boy wa Yanga atafutwe awekwe ndani,kaleta Konde Boy fake.
 

Maneno yatawatoka sana tu,lakini ukweli ndiyo huo,mmetia aibu na CL ndiyo Taifa linakwenda kupata aibu kubwa zaidi.
 
Kwa maana hii hakuna team hapo kama mlitumia kwaajili ya majiribio basi hawafai kabisa!!!... mashabiki wa Yanga nawapendea hapo
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kwahy kwa pamoja mmekubaliana kuwa mlibanduliwa Mlipokuwa wadogo.?
 
Hakuna tofauti mkuu tatizo la yanga lipo kwenye chemestry ya team kila siku wachezaji wapya na makocha wapya duu kwa hili utoaji wataishia kuwa wa majaribio tu
Mkuu TFF ndio chanzo sisi kupoteza...
 

Sisi Yanga kuna kitu tulifanywa kwa kweli. Ni mashabiki wa kipumbavu sana. Yaani week nzima tunahangaika na Manara na Mo

This time Simba wametuweza sana. Tunahangaika na mambo ya kipuuzi sana. Tunaacha ku deal na mambo yetu. Inaumiza. Mi naona kama kuna kitu tulifanywa tulipokuwa wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ