NATUMIA MANENO MACHACHE-Nilichokiona jana.
Yanga ni ileile,kilichobadilika kidogo ni watu. kuna wachezaji wapya ambao wanasifa zao binafsi.
hadi dk ya 30 Yanga ilikuwa haijafanya shambulizi lolote la maana, tofauti yao na wapinzani wao ni kwamba Tuisila alikuwa anakimbia na mpira kuelekea golini hivyo walikuwa wana fika 18 ya Aigle.
Warundi walifanya mashambulizi dk za 88,89 na 90 na ni baada ya Yanga kubadili sehemu kubwa ya kikosi."Hv kuna mtu alisema yanga ina vikosi viwili"?
Jicho la tatu.Yanga bado hawana timu ila hadi sasa wanawachezaji tu na jana hawakupata radha sahihi ya ushindani.Tondombe,Feisal wt waliokota mipira wakiwa free na bila presha.
Hahaa hahaaa! Yaan hapa nawacheka kwa dharau nyinyi Mikia mnavyo hangaika.
Yaan mmekuwa sawa na mwanaume unapoachwa na mwanamke.Akiwa nje ya hadhira hujaribu kutoa kashfa na matusi kadhalika kumponda mwanamke huyo,
Baadae akikumbuka utam na ubora wamwanamke yule hujifungia chumbani na kubaki akilia na kuomboleza.
Hizi ni dalili tosha mkuki umelenga tunduni.Ahsante CHAPA bora GSM na TAIFA gas hakika mmeturudishia heshima.
Tusingeuona ubora Wa Feitoto FUNDI pasipo adimini Wa idara ya mawasiliano ya kati MUKOKO Tonombe,
KIBWANA Shomari Moja ya usajiri bora sana,Mwanzo nilikuwa na wasi sana na upande Wa kulia haswa tuliposkia J Abdul hatokuwa nas.Lakini kupitia huyu kijana Yanga tumelamba dume vitu adim na ni moja ya mabeki Wa kisasa.Anakasi ,Anakaba anaoverup yaan mpaka raha.
Kuna wakati mnaweza kuwahukumu makipa niwabovu kumbe ubovu Wa defense unaporomosha viwango vyao.Aisee BAKARI Mondo na Ninja mmenisuprise sana sana.Utulivu na utimamu kama mmecheza pamoja kwa muda mrefu.
KISINDA Huyu kila nikikumbuka Movement zake ananikumbusha Yanga ya Saimon Msuva27.Anakila sofa na sababu yakuwa Right Wing,anajiamini sana na anamaamuzi sahihi.
MIC SAPONG hakika Yanga kwamuda mrefu ilimuhitaj mshambuliaj kama huyu.Anakontrol miguuni mwake.Ananguvu zenye akili,Mnyumbulifu na muda wote anaitafuta 18 yard pia anajicho LA goli kazi kwao viungo kumlisha pas za kutosha atafunga sanaaa.
CARLINHOS anavyo onekana co mzuri Wa bato haswa ya kutumia nguvu sana ( Tough) games. Kwa dakika chache nilizo ahuhudia miguu yake kama kocha atataka auone ubora wake zaid bas atumike akiwa FREE ROL.Nimzur kwa long bolls haswa kwa mawinga tulip nao wanakasi atatusaidia sana japo hatuwez mjaji sana kwan alicheza dkika chache.
FARIDI MUSA Nadhani huyu Left Wing 11 anaimiliki kabisaa lile guu LA kushoto analitendea haki kabisaa.Yaani TK Master Julia Farid kushoto Kat Sarpong hivi ukuta gani wakuhimili hii misumari?
YASIN Mustafa. Adeyuni anamengi ya kujifunza kwa huyu kijana anajua mini anatakiwa kufanya kwa wakati gani kiufupi nimekupitisha kwa wananchi.
Kiukweli tunamatumaini na kikosi hichi kikiwa pamoja kwa muda mrefu tutayaona mafanikio makubwa.Kikubwa viongoz na wanachama pia mashabiki Wa Yanga tusiwabebeshe mizigo mikubwa ya presha na matarajio ya haraka wachezaj wetu kikubwa tuijenge tm yetu kwanza.
Wachezaji wetu wapate stahiki zao kwa wakati,na mazingira rafiki watafanya vizur sana .Naiyona Yanga mpya Yamoto