Yanga ni ile ile

Yanga ni ile ile

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
NATUMIA MANENO MACHACHE-Nilichokiona jana.

Yanga ni ileile,kilichobadilika kidogo ni watu. kuna wachezaji wapya ambao wanasifa zao binafsi.

hadi dk ya 30 Yanga ilikuwa haijafanya shambulizi lolote la maana, tofauti yao na wapinzani wao ni kwamba Tuisila alikuwa anakimbia na mpira kuelekea golini hivyo walikuwa wana fika 18 ya Aigle.

Warundi walifanya mashambulizi dk za 88,89 na 90 na ni baada ya Yanga kubadili sehemu kubwa ya kikosi."Hv kuna mtu alisema yanga ina vikosi viwili"?

Jicho la tatu.Yanga bado hawana timu ila hadi sasa wanawachezaji tu na jana hawakupata radha sahihi ya ushindani.Tondombe,Feisal wt waliokota mipira wakiwa free na bila presha.
 
Unachosema kiko wazi kabisa. Wachezaji waliosajiliwa na Yanga kkidoooogoTuisila lakini hao wengine sijaona jipya la kutusumbua kuchukua ubingwa msimu huu.

Yanga wakiacha mihemko wanaweza kuleta ushindani msimu wa 2023/2024. Lakini km bado wataendelea na papara zao za kuwaridhisha mashabiki sizan km watachukua kombe hata huo msimu wa 2023/2024
 
NATUMIA MANENO MACHACHE-Nilichokiona jana.

Yanga ni ileile,kilichobadilika kidogo ni watu. kuna wachezaji wapya ambao wanasifa zao binafsi.

hadi dk ya 30 Yanga ilikuwa haijafanya shambulizi lolote la maana, tofauti yao na wapinzani wao ni kwamba Tuisila alikuwa anakimbia na mpira kuelekea golini hivyo walikuwa wana fika 18 ya Aigle.

Warundi walifanya mashambulizi dk za 88,89 na 90 na ni baada ya Yanga kubadili sehemu kubwa ya kikosi."Hv kuna mtu alisema yanga ina vikosi viwili"?

Jicho la tatu.Yanga bado hawana timu ila hadi sasa wanawachezaji tu na jana hawakupata radha sahihi ya ushindani.Tondombe,Feisal wt waliokota mipira wakiwa free na bila presha.
Ina kuuma?
 
Hahaa hahaaa! Yaan hapa nawacheka kwa dharau nyinyi Mikia mnavyo hangaika.

Yaan mmekuwa sawa na mwanaume unapoachwa na mwanamke.Akiwa nje ya hadhira hujaribu kutoa kashfa na matusi kadhalika kumponda mwanamke huyo,

Baadae akikumbuka utam na ubora wamwanamke yule hujifungia chumbani na kubaki akilia na kuomboleza.

Hizi ni dalili tosha mkuki umelenga tunduni.Ahsante CHAPA bora GSM na TAIFA gas hakika mmeturudishia heshima.

Tusingeuona ubora Wa Feitoto FUNDI pasipo adimini Wa idara ya mawasiliano ya kati MUKOKO Tonombe,

KIBWANA Shomari Moja ya usajiri bora sana,Mwanzo nilikuwa na wasi sana na upande Wa kulia haswa tuliposkia J Abdul hatokuwa nas.Lakini kupitia huyu kijana Yanga tumelamba dume vitu adim na ni moja ya mabeki Wa kisasa.Anakasi ,Anakaba anaoverup yaan mpaka raha.

Kuna wakati mnaweza kuwahukumu makipa niwabovu kumbe ubovu Wa defense unaporomosha viwango vyao.Aisee BAKARI Mondo na Ninja mmenisuprise sana sana.Utulivu na utimamu kama mmecheza pamoja kwa muda mrefu.

KISINDA Huyu kila nikikumbuka Movement zake ananikumbusha Yanga ya Saimon Msuva27.Anakila sofa na sababu yakuwa Right Wing,anajiamini sana na anamaamuzi sahihi.

MIC SAPONG hakika Yanga kwamuda mrefu ilimuhitaj mshambuliaj kama huyu.Anakontrol miguuni mwake.Ananguvu zenye akili,Mnyumbulifu na muda wote anaitafuta 18 yard pia anajicho LA goli kazi kwao viungo kumlisha pas za kutosha atafunga sanaaa.

CARLINHOS anavyo onekana co mzuri Wa bato haswa ya kutumia nguvu sana ( Tough) games. Kwa dakika chache nilizo ahuhudia miguu yake kama kocha atataka auone ubora wake zaid bas atumike akiwa FREE ROL.Nimzur kwa long bolls haswa kwa mawinga tulip nao wanakasi atatusaidia sana japo hatuwez mjaji sana kwan alicheza dkika chache.

FARIDI MUSA Nadhani huyu Left Wing 11 anaimiliki kabisaa lile guu LA kushoto analitendea haki kabisaa.Yaani TK Master Julia Farid kushoto Kat Sarpong hivi ukuta gani wakuhimili hii misumari?

YASIN Mustafa. Adeyuni anamengi ya kujifunza kwa huyu kijana anajua mini anatakiwa kufanya kwa wakati gani kiufupi nimekupitisha kwa wananchi.

Kiukweli tunamatumaini na kikosi hichi kikiwa pamoja kwa muda mrefu tutayaona mafanikio makubwa.Kikubwa viongoz na wanachama pia mashabiki Wa Yanga tusiwabebeshe mizigo mikubwa ya presha na matarajio ya haraka wachezaj wetu kikubwa tuijenge tm yetu kwanza.

Wachezaji wetu wapate stahiki zao kwa wakati,na mazingira rafiki watafanya vizur sana .Naiyona Yanga mpya Yamoto
 
Hii komenti yako itakuwa nzuri sana utakapoanza mzunguko wa pili itunze Kama hutaumbuka
 
Umemsahau Juma Mahadhi dogo yupo on fire kinoma
 
Hapo hapo jiesiem wanasema wanahusika kusajili tu ila kulipa mishahara ni wananchi[emoji2][emoji2][emoji2] sasa najiuliza unaingia mkataba na watu then mshahara alipe mwingine vipi kama hana uwezo wa kulipa mshahara mliokubaliana kwenye mkataba?
 
Hahaa hahaaa! Yaan hapa nawacheka kwa dharau nyinyi Mikia mnavyo hangaika.

Yaan mmekuwa sawa na mwanaume unapoachwa na mwanamke.Akiwa nje ya hadhira hujaribu kutoa kashfa na matusi kadhalika kumponda mwanamke huyo,

Baadae akikumbuka utam na ubora wamwanamke yule hujifungia chumbani na kubaki akilia na kuomboleza.

Hizi ni dalili tosha mkuki umelenga tunduni.Ahsante CHAPA bora GSM na TAIFA gas hakika mmeturudishia heshima.

Tusingeuona ubora Wa Feitoto FUNDI pasipo adimini Wa idara ya mawasiliano ya kati MUKOKO Tonombe,

KIBWANA Shomari Moja ya usajiri bora sana,Mwanzo nilikuwa na wasi sana na upande Wa kulia haswa tuliposkia J Abdul hatokuwa nas.Lakini kupitia huyu kijana Yanga tumelamba dume vitu adim na ni moja ya mabeki Wa kisasa.Anakasi ,Anakaba anaoverup yaan mpaka raha.

Kuna wakati mnaweza kuwahukumu makipa niwabovu kumbe ubovu Wa defense unaporomosha viwango vyao.Aisee BAKARI Mondo na Ninja mmenisuprise sana sana.Utulivu na utimamu kama mmecheza pamoja kwa muda mrefu.

KISINDA Huyu kila nikikumbuka Movement zake ananikumbusha Yanga ya Saimon Msuva27.Anakila sofa na sababu yakuwa Right Wing,anajiamini sana na anamaamuzi sahihi.

MIC SAPONG hakika Yanga kwamuda mrefu ilimuhitaj mshambuliaj kama huyu.Anakontrol miguuni mwake.Ananguvu zenye akili,Mnyumbulifu na muda wote anaitafuta 18 yard pia anajicho LA goli kazi kwao viungo kumlisha pas za kutosha atafunga sanaaa.

CARLINHOS anavyo onekana co mzuri Wa bato haswa ya kutumia nguvu sana ( Tough) games. Kwa dakika chache nilizo ahuhudia miguu yake kama kocha atataka auone ubora wake zaid bas atumike akiwa FREE ROL.Nimzur kwa long bolls haswa kwa mawinga tulip nao wanakasi atatusaidia sana japo hatuwez mjaji sana kwan alicheza dkika chache.

FARIDI MUSA Nadhani huyu Left Wing 11 anaimiliki kabisaa lile guu LA kushoto analitendea haki kabisaa.Yaani TK Master Julia Farid kushoto Kat Sarpong hivi ukuta gani wakuhimili hii misumari?

YASIN Mustafa. Adeyuni anamengi ya kujifunza kwa huyu kijana anajua mini anatakiwa kufanya kwa wakati gani kiufupi nimekupitisha kwa wananchi.

Kiukweli tunamatumaini na kikosi hichi kikiwa pamoja kwa muda mrefu tutayaona mafanikio makubwa.Kikubwa viongoz na wanachama pia mashabiki Wa Yanga tusiwabebeshe mizigo mikubwa ya presha na matarajio ya haraka wachezaj wetu kikubwa tuijenge tm yetu kwanza.

Wachezaji wetu wapate stahiki zao kwa wakati,na mazingira rafiki watafanya vizur sana .Naiyona Yanga mpya Yamoto
Dogo Kibwana Shomari damu changa apewe mkataba mrefu maana wahujumu uchumi hawakawiiiii kutuharibia.Yanga itatakata sana mwaka huu
 
𝐝𝐢𝐫𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐝𝐨𝐠𝐨 𝐥𝐚 𝐣𝐚𝐧𝐮𝐚𝐫𝐲 𝐬𝐢𝐦𝐛𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐦𝐜𝐡𝐮𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐭𝐨𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐤𝐨𝐩𝐨 𝐧𝐚𝐦𝐮𝐧𝐠𝐨
 
Back
Top Bottom