Wameanza kuwekeana mwiko hadharaniHahahahahahaaaaa maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jesusssssssssssssssssssss!View attachment 2407606
Kuna team Ina yoitwa young Africa ilijichanganya makundi 1998 club bingwa ,ilitia aibu nchi kwanza haikushinda mchezo wowote wa kundi Kisha ikapigwa 6-1 na raja Casablanca .Toka wakati huo hadi sasa watoto wamezaliwa na wamesoma na wamemaliza vyuo na wameajiriwa wapowapo tuTimu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea
Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika
Ila bado wanajitafuta
Siku wakija kutoka na kuambia patachimbika kuna watu watakuwa wana kula nenda rudi goli tano tano apa Afrika
Na maliza sisi ndo wala mihogo
Hakikisha una jembe lako na kisu pamoja na karanga kuna shamba letu uko Tunisia
Kabla ya kuandika jambo linalohusu Simba sc na Yanga sc jifunze kwanza kuhusu nguvu ya ukinzani iliyopo kati ya rangi nyekundu na kijani kwenye dunia na kwa taarifa yako always RED is a winning color in the world so kaa kwa kutulia haya mambo ni nature ndiyo inayoamua...Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea
Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika
Ila bado wanajitafuta
Siku wakija kutoka na kuambia patachimbika kuna watu watakuwa wana kula nenda rudi goli tano tano apa Afrika
Na maliza sisi ndo wala mihogo
Hakikisha una jembe lako na kisu pamoja na karanga kuna shamba letu uko Tunisia
Unavyoongea ni kama vile ni timu iliyoanzishwa hivi karibuni au ni timu ambayo ilishapata mafanikio makubwa siku zilizopita na sasa inayatafuta tena.Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea