Yanga ni kama mnyama mkubwa na mkali alofungia ndani ya pango

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea
Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika
Ila bado wanajitafuta

Siku wakija kutoka na kuambia patachimbika kuna watu watakuwa wana kula nenda rudi goli mabao nenda rudi apa Afrika

Na maliza sisi ndo wala mihogo
Hakikisha una jembe lako na kisu pamoja na karanga kuna shamba letu uko Tunisia
 
Uto unasubiri meli stendi ya mabasi hakika ni utopolo.
 
Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea
Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika
Ila bado wanajitafuta

Siku wakija kutoka na kuambia patachimbika kuna watu watakuwa wana kula nenda rudi goli tano tano apa Afrika

Na maliza sisi ndo wala mihogo
Hakikisha una jembe lako na kisu pamoja na karanga kuna shamba letu uko Tunisia
Kuna team Ina yoitwa young Africa ilijichanganya makundi 1998 club bingwa ,ilitia aibu nchi kwanza haikushinda mchezo wowote wa kundi Kisha ikapigwa 6-1 na raja Casablanca .Toka wakati huo hadi sasa watoto wamezaliwa na wamesoma na wamemaliza vyuo na wameajiriwa wapowapo tu
 
Kwahiyo siku hizi ni daima mbele nyuma wa jang'ombe?
 
Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea
Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika
Ila bado wanajitafuta

Siku wakija kutoka na kuambia patachimbika kuna watu watakuwa wana kula nenda rudi goli tano tano apa Afrika

Na maliza sisi ndo wala mihogo
Hakikisha una jembe lako na kisu pamoja na karanga kuna shamba letu uko Tunisia
Kabla ya kuandika jambo linalohusu Simba sc na Yanga sc jifunze kwanza kuhusu nguvu ya ukinzani iliyopo kati ya rangi nyekundu na kijani kwenye dunia na kwa taarifa yako always RED is a winning color in the world so kaa kwa kutulia haya mambo ni nature ndiyo inayoamua...
 
Timu ya Yanga ni kama mnyama mkubwaaa ambaye amefungiwa ndani ya pango bado ana tafuta pakutokea
Hii timu ina nguvu saana za asili na ni timu ambayo inaweza kuwa tishia barani Afrika
Ila bado wanajitafuta

Siku wakija kutoka na kuambia patachimbika kuna watu watakuwa wana kula nenda rudi goli tano tano apa Afrika

Na maliza sisi ndo wala mihogo
Hakikisha una jembe lako na kisu pamoja na karanga kuna shamba letu uko Tunisia
Unavyoongea ni kama vile ni timu iliyoanzishwa hivi karibuni au ni timu ambayo ilishapata mafanikio makubwa siku zilizopita na sasa inayatafuta tena.

Nakukumbusha tu ni timu ya tokea 1935 na kwa nje ya Tanzania mafanikio pekee ni kucheza makundi 1998 na 2016, na katika hatua zote ilikua ya mwisho kwenye kundi lake.
 
Back
Top Bottom