Yanga ni kama ule mti wenye matunda mtaani

Yanga ni kama ule mti wenye matunda mtaani

Southern Highland

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
14,938
Reaction score
25,405
Sasa vitoto vyote vya mitaani lazima viupopoe kupata chochote kitu. Ndicho kinachoendelea hata humu JF na kwenye mitandao mingine watu wanatumia ma bundle yao na muda wao kuiandika vibaya na wachache wakiiandika kwa mazuri. Lakini lengo lao kubwa kupata attention.

Kuna wengine hawana hoja kutwa kucha yeye kutoa thread za Yanga kibaya zaidi anaandika ujinga halafu ana jiamini kabisa eeh combination mbaya hiyo. Lakini sisi kama Yanga tunajua ukubwa jalala tutumie vizuri tunawapa platform msizushe habari za uongo

Leo hii
Al Merreikh Vs Young Africans saa 10:00
 
Ila yanga wenzangu mnaboa sana. Kila mara kujianzishia nyuzi mbona tunakuwa hatujiamini. Kucha kujigamba tuba timu nzuri lkn hatujiamini kabisa.

Kwann tusiwe kama wenzetu simba hawaongei ongei hovyo yaani wanajiamini na hawana mbwembwe japo timu yao mbovu.
 
Back
Top Bottom