Yanga ni kubwa, ndio timu bora Tanzania na ukanda wa CECAFA

Ww tunza nguvu za kumuhudumia wifi yangu..Utopolo itakuaa
 
Upo vizuri.Kwa ushahidi gani wa kiofisi umeeleza?
 
Mashabiki wa nyuma Mwiko ni MAZUZU...
by mzee Magoma
 
Mwakikundi unajaribu kutafuta faraja...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Klabu pekee hapa Afrika Mashariki ni Gor Mahia wao ndio wana kombe la Washindi(Shirikisho)1987kama ni fainali ya Shirikisho hata Simba 1993 (kombe la Washindi),hebu elezea huo ukubwa hapa Afrika Mashariki unakujaje na hatujaweka kombe la klabu bingwa Afrika Mashariki (Sasa Kagame Cup)
 

Tuonyeshe caf ranking inayoonyesha yanga alishawahi kuwa team Bora Africa mashariki ondoka kati ,usiandike Kwa hisia wakati ukweli unaujua. Ukifanya mtihani unajua umefeli au umefaulu acha kujipa hope Kwa ujinga,unajidanganya upate faida gani ,ukiwa jinsi ya kiume hakuna tumaini la kuwa wa kike.
 
Usajili wa Chama ulikuwa ni kuifikisha Yanga Fainali na hilo limefeli, ukweli Usajili kwa ajili ya kukomoa au kufurahisha(kupumbaza) washabiki umeshapitwa na wakati kabisa,hata ukiiona Ahly inapata shida sana ligi ya kwao lakini unapoingia soka la Afrika inajulikana kuliko Zamalek au Pylamid,Yanga waende Kisasa waachane na mambo hayo yameshapitwa na wakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…