Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo vizuri.Kwa ushahidi gani wa kiofisi umeeleza?Mimi kama mwanachama wa Yanga
Nawapongeza viongozi, wachezaji, Wanachama na mashabiki
Yanga ni timu Bora katika ukanda huu wa CECAFA, ndio timu pekee iliyokuwa ikishiriki mashindano makubwa ya club bingwa ukanda huu
Lakini isivyo bahati tumekwama na kuishia hatua ya group stage
Wale wenzetu wapo shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama, ambayo CAF walitaka wayafutilie mbali Kwa kukosa hadhi na kuwa mashindano yasiyo na hadhi
Watani wana force faraja fake Kwa kujilinganisha na Yanga iliyoishia group stage wakati timu iliyoishia final huko shirikisho hawezi kupata pesa sawa na timu iliyoishia group stage ya CAFCL
Mashabiki wa Yanga ni watu wakomavu na wana michezo, pamoja na matokeo kutokuwa upande wao hawakuharibu miundo mbinu ya uwanja kama wale wa 5imba ambao ni wahuni wavuta ugolo na bange
Yanga kutolewa timu zote za ukanda wa CECAFA Zina maumivu makali
Tujinze kutofautisha kati ya CAFCL na shirikisho yaani UMISETA ambapo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya akina mama
Yanga tutajipanga tena na tuna waahidi iwakirishi mwema,
Yanga bingwa
Mwakikundi unajaribu kutafuta faraja...😂😂😂Mimi kama mwanachama wa Yanga

Unamawazo kama yangu.Watani mmejikwa kwenye usajili.kuwaongeza Chama,Baleke,Dube kwenye kikosi chenu ni kufubaza makali ya Yanga waliyokua nayo awali.
Mimi kama mwanachama wa Yanga
Nawapongeza viongozi, wachezaji, Wanachama na mashabiki
Yanga ni timu Bora katika ukanda huu wa CECAFA, ndio timu pekee iliyokuwa ikishiriki mashindano makubwa ya club bingwa ukanda huu
Lakini isivyo bahati tumekwama na kuishia hatua ya group stage
Wale wenzetu wapo shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama, ambayo CAF walitaka wayafutilie mbali Kwa kukosa hadhi na kuwa mashindano yasiyo na hadhi
Watani wana force faraja fake Kwa kujilinganisha na Yanga iliyoishia group stage wakati timu iliyoishia final huko shirikisho hawezi kupata pesa sawa na timu iliyoishia group stage ya CAFCL
Mashabiki wa Yanga ni watu wakomavu na wana michezo, pamoja na matokeo kutokuwa upande wao hawakuharibu miundo mbinu ya uwanja kama wale wa 5imba ambao ni wahuni wavuta ugolo na bange
Yanga kutolewa timu zote za ukanda wa CECAFA Zina maumivu makali
Tujinze kutofautisha kati ya CAFCL na shirikisho yaani UMISETA ambapo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya akina mama
Yanga tutajipanga tena na tuna waahidi iwakirishi mwema,
Yanga bin
Tuonyeshe caf ranking inayoonyesha yanga alishawahi kuwa team Bora Africa mashariki ondoka kati ,usiandike Kwa hisia wakati ukweli unaujua. Ukifanya mtihani unajua umefeli au umefaulu acha kujipa hope Kwa ujinga,unajidanganya upate faida gani ,ukiwa jinsi ya kiume hakuna tumaini la kuwa wa kike.Mimi kama mwanachama wa Yanga