Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
mikia msimu huu mafanikio yenu ni droo tuGamondi ball is terrible, 🚮yanga players are disjointed, very terrible game play, caf champions league. wanaenda kutalii. they don't have a team. truth to be told
PREDICTION GAMONdi OUT BY FEBRUARY
SIO shabiki, but surePoa petty win au sio, tusubiri kuwaona nyie Wanga.
Yes, kama sio shabiki nimekuelewaSIO shabiki, but sure
Mshukuruni sana huyu bintiTimu yako mara ya mwisho kumfunga simba ilikuwa ni lini ?
Shika hamsini zako..maisha yangu hayakuhusu...bando hununui wewe...yani kiufupi take ur time...usinipangie cha kufanya.....mpangie sheria mkeo...ww unaeweza mpira unacheza namba ngapi? Kwani hapa tunacheza au tunatoa maoni yetu?? Katazeni wanawake basi wasiingie viwanjani au wasicheze mpira wa miguu...hakuna kitu unachojua wanawake wasijue..ficha ujinga wako...Mwanamke na mpira wapi na wapi nenda kamuwekee mumeo maji bafuni,nyie kazi yenu kupiga umbeya mpira huwezi
AaahaaasMax
Azizi Ki
pakome.
HAWA WATU KUWAKABA NI KAZI KUBWA MNO
Umejificha chini ya mtungi saa hz 😂Uzuri mpira ni mchezo wa wazi
HahahahahaUzuri mpira ni mchezo wa wazi
Huwezi kuongea tu kwamba bad football bila kuongea facts. Chambua mechi, tuoneshe concerns zako zimebase wapi. Kinyume na hapo, fatisha ushauri wangu wa mwanzo kabisa, tafuta hobby nyingine, mpira sio kitu chakoSIO kweli, wewe unakaza kichwa ila that was bad football
Bei zikoje kwa sasa?Azam wameshusha bando
Na bado hatujanunua
Sijui tunataka nini!!
DStv angechukua na pira la bongo ingekuwa magoli sana
🤔🤔🤔Hv kwann mzeeUlishawahi kujiuliza kwanini shabiby hana ruti ya dar-arusha?
Na bado hajasemaaaaMpira sio kitu chako mkuu, jaribu kutafuta hobby nyingine.
Wamebweteka. Mwamnyeto kawaida yake kushuka kiwango,Diara na mwamnyeto wanashuka viwango kwa kasi sana. Waaulizwe shida nini.
Bei zikoje kwa sasa?
Kwa ushindi wa kubebwa?Juzi nilisema kocha wa simba ni mzuri kuliko wa yanga..mmenitukana..lakini nawaambia akiendelea hivyo atakwama.
Mana anavijana wenye nguvu lakini naona wanahangaika sana.wakati madunduka wana wazee lakini kama wanaenda bila ya shida.