Yanga ni team ya pili kwa thamani Afrika baada ya Al Ahly

Yanga ni team ya pili kwa thamani Afrika baada ya Al Ahly

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hii ni habari ya mjini kwa sasa. Thamani ya Yanga kwa Africa ni Kubwa sana. Yanga ni team kubwa sana. Tumshukuru Hersi na ngara23 kwa jinsi wanavyoshirikiana wamefanikisha haya.

Screenshot_2025-09-07-18-16-22-495_com.instagram.android~2.jpg
 
Wacheni kumtukana Chizi Maarifa.
 
Wacheni kumtukana Chizi Maarifa.

Hewaaaaaah... Hapo umenena vyema. Unajua wengi wanaotukana najua chuki yao ni nini. Mimi nina watoto wengi sana huko Tz nlisema mpaka nipime DNA nipate uhakika. Siibiwi kizembe sasa wamebaki wanatukana tu kila wakiona threads zangu
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Ndo wasajili sasa Wachezaji wa aina ya Peter Shalulile, Chris Mudau na Thapeo Maseko kama hiyo fedha wanayo. Eti wanaizidi Mamelodi! Bloody fucken.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Thamani ya Yanga unai calculate vipi?
Au thamani ya kampuni huwa inapatikanaje
 
Back
Top Bottom