Yanga ni team ya pili kwa thamani Afrika baada ya Al Ahly

Wacheni kumtukana Chizi Maarifa.
 
Wacheni kumtukana Chizi Maarifa.

Hewaaaaaah... Hapo umenena vyema. Unajua wengi wanaotukana najua chuki yao ni nini. Mimi nina watoto wengi sana huko Tz nlisema mpaka nipime DNA nipate uhakika. Siibiwi kizembe sasa wamebaki wanatukana tu kila wakiona threads zangu
 
Reactions: Tui
Shida uelewa mdogo wa watu
Kuna tofauti ya thamani ya club ya Yanga na thqmani ya kikosi cha Yanga
 
Ndo wasajili sasa Wachezaji wa aina ya Peter Shalulile, Chris Mudau na Thapeo Maseko kama hiyo fedha wanayo. Eti wanaizidi Mamelodi! Bloody fucken.
 
Reactions: Tui
Thamani ya Yanga unai calculate vipi?
Au thamani ya kampuni huwa inapatikanaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…