This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Wakuu,saluti kwenu.naamini wote jana mlishuhudia mechi mbili tofauti za watani wa jadi.Wakati naangalia mechi ya mnyama mkali na Ihefu nilishangaa mashabiki na wapenzi wa Yanga wakibeza matokeo ya Simba kwamba imeshindwa kupata angalao goli nne kwa timu ndogo iliyopanda daraja msimu tena kwa playoff.
Saa moja ikaanza mechi Kati ya mbogamboga SC,vyura wa Jangwani,nyumbu,utopolo.wakaanza kupigwa ,baada ya mda wakajitutumua wakasawazisha.Msema kweli ni mpenzi wa Mungu sikuwaona Yanga wakiwa na plan yoyote tena ya kupata goli. Je, kile ndio kikosi tuliambiwa cha bilioni na nusu na zaidi.
Kuna tofauti gani Kati ya hawa kina Sarpong,kisinda ,Yakouba et al na wakina Yikpe,molinga. Huu ni usajili wa kuangalia picha za YouTube bila kufuatilia uhalisia wa uchezaji wa mchezaji uwanjani. Kwa viwango vya timu km As Vita haiwez kuwa na mchezaji mzuri wa viwango bora wakamuuza Yanga.Yanga wamenunua magarasa.
WANAYANGA WENZANGU tujiandae kisaikolojia mwendo wa sare umeanza rasmi na ndio utakuwa ushindi wetu.Ikibidi huu uongoz wa sasa wa hawa majamaa GSM uondolewe haraka sana ili kuinusuru Yanga yetu.Ni ushauri wangu.Hawa Simba wanatisha tukikutana nao hamuona tutahama 4G na kuingia 5G.POVU RUKSAAAA.