Yanga ni timu ya serikali hadi wapewe eneo bure bila utaratibu?

IKIRIRI

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2018
Posts
2,734
Reaction score
3,023
Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni.
1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali?
2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi?
3.kuna uhusiano gani kati ya yanga na ccm? coz kikao kimekuwa km kampeni ya kugombea madaraka.
 
BASHITE anawapa Yanga eneo ambalo walikwisha pewa na Manji.
Paul Makonda anataka tu political mileage
 
Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni.
1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali?
2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi?
3.kuna uhusiano gani kati ya yanga na ccm? coz kikao kimekuwa km kampeni ya kugombea madaraka.
We hujui Yanga ina mchango mkubwa katika kudai uhuru wa nchi hii?
Unadhani rangi za CCM walizipata wapi kama hawakucopy paste?
 
Katika siku mbaya kwa mikia leo ipo!!! Yamepagawa sana, yalitangaza bomu leo saa saba wahuni wakafanya umafia wa hali ya juu. Hongereni sana. Nimefurahi sana hii idea ya uwanja kule kunako upepo wa bahari ya hindi. Hembu pata picha club bingwa inachezwa pale kwenye kiwanja chetu pembezoni mwa mwambao, tukimaliza kushangilia ushindi tunaogelea.😁😁😁😁😁😁😁😁 unajengaje uwanja bunju😁😁😁 itakua mechi ya mkoani kule bunju😂😂😂😂 Bado naendelea kumuombea heri na baraka mzee kilomoni aendelee na harakati zake.
 
Wewe na Makonda yupi anayeichukia zaidi Yanga hasa tokana na timu anyoishabikia sasa hivi[emoji848][emoji57]
Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni.
1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali?
2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi?
3.kuna uhusiano gani kati ya yanga na ccm? coz kikao kimekuwa km kampeni ya kugombea madaraka.
 
Wewe na Makonda yupi anayeichukia zaidi Yanga hasa tokana na timu anayoishabikia sasa hivi[emoji848][emoji57]
Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni.
1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali?
2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi?
3.kuna uhusiano gani kati ya yanga na ccm? coz kikao kimekuwa km kampeni ya kugombea madaraka.
 
Mh makonda ametoa ahadi kwa yanga kuwapatia eneo la kujenga uwanja kigamboni.
1.Najiuliza yanga ni taasisi ya serikali?
2.Mamlaka ya kuipa eneo mh Rc anayatoa wapi?
3.kuna uhusiano gani kati ya yanga na ccm? coz kikao kimekuwa km kampeni ya kugombea madaraka.
Jengo la yanga lilitumika na TANU kwahyo jua yanga Ni timu kubwa sana inadhamana kubwa sana kushinda inavyofikiri wew ndio maana umeona mzee kilomon kaenda pale anajua inch iko pale
 
Eneo anyang'anywe Manji kwa kuonewa kisha ipewe Yanga jamani acheni dhuruma
 
Vikao vya Yanga vilitumika sana kuwakutanisha wapigania Uhuru ili mkoloni asijue.

Japo Makonda katoa kiwanja, hicho katoa tu kama Makonda na si RC, hivyo nenda umuulize katoa wapi pesa za kununua kiwanja?

Afu waheshimu wanayanga nchi nzima kwa kuwa umewakosea kusema leo ilikuwa kama kampeni, wakati unajua fika pale watu walikuwa wanachangishana na hakuna alietamka neno ccm wala Chadema, wala hakuna alieomba kura.

Waziri mkuu ni Simba; Kilomoni Simba; na Makonda ni Simba hata Rais ni Simba lialia,hivyo usilete habar nyeusi wakati Leo watu wamekutana kutunisha mifuko ya timu yao.
 
Mkuu Yanga ni zaidi ya uijuavyo tafuta vitabu vya history utaelewa
 
Back
Top Bottom