Yanga ni wanyonyaji sana

Uyo mchezaji alisajiliwa au akusajiliwa? Na vipi manzoki alisajiliwa kwenye mkutano wa kampeni?
Yuko wapi sasa hivi na kipindi anakuja kwenye campaign ilikuwa kashasajiliwa tayari mbona mlisema Morrison amesaini mkataba mpya kumbe ilikuwa uongo au ile sio siasa.
 
Calm down sio mimi nilie lalamika ni baba yake mzazi mimi nimewasilisha mada tu acha kukurupuka.
Amelalamika au ameelezea anachokijua? Lete hiyo video tuone kama amelalamika au ameongea tu anachokijua.
Kama angekuwa amelalamika, si tungeona akimshauri mwanae asiendelee na timu ya wanyonyaji?
 
Amelalamika au ameelezea anachokijua? Lete hiyo video tuone kama amelalamika au ameongea tu anachokijua.
Kama angekuwa amelalamika, si tungeona akimshauri mwanae asiendelee na timu ya wanyonyaji?
Kuileta hapa ni kazi yko wewe maana ndio unataka ushahidi maana unataka kuanzisha league.
 
Umemaliza...
 
Amelalamika au ameelezea anachokijua? Lete hiyo video tuone kama amelalamika au ameongea tu anachokijua.
Kama angekuwa amelalamika, si tungeona akimshauri mwanae asiendelee na timu ya wanyonyaji?
Tuna uelewa tofauti mtu anazungumzia maslahi ya mkataba wa zamani na mpya kuboreshwa mwengine akili zinamtuma kuwa analalamika.
 
Niseme tu kuwa wewe ni PUMBAVU SANA. KMKM alikuwa analipwa shilingi ngapi?
 
Ni ndogo sana ukilinganisha na mchango wake uwanjani na mikataba ya wachezaji wenzake....
Mchango wake mkubwa umeanza lini?
Kabla hajaanza kucheza mbona alikuwa akilipwa bila kufanya kazi na hamkusema?
 
Umeongea upupu tu wewe hujui kitu. Huo umafia wenyewe mbona hauonekani? Mshahara ni makubaliano kati ya watu wawili na kama unahisi mshahara ni mdogo kataa ondoka.

Tuje kwa Ibrahim Bacca, hivi wakati anatoka Zanzibar ulikuwa unamjua wewe? Mchezaji alichukuliwa hafahamiki ameendelezwa amepanda thamani mnaleta midomo bila sababu. Hata huyo Bacca mwenyewe ukimuuliza kipindi anapewa mkataba wa 1.5Mil alifurahi mnoo. Inatoka ligi ya Zanzibar mchezaji anayelipwa sana laki Tano na unapewa mshahara mara tatu unasema kanyonywa. Bacca kaonesha thamani yake kapambana.

Kuhusu hao Wakongo wala hoja yako Haina maana. Yanga hadi sasa ina Wakongo watatu na inaleta Winga mwingine. Sasa unasemaje Wakongo hawaitaki Yanga. Hata huyo Djuma na Mwenzie ukiwauliza Leo wanajuta kuondoka Yanga.
 
Wewe ni ndugu yake maxi na aziz ki Mpaka wakakulalamikia hizo shida zao au unafanya assumption??
 
Thamani inakuwa kwa team au kwa mchezaji brand ya yanga ni kubwa hivyo inatakiwa iendane na uhalisia.
Kwa hiyo kwa kuwa thamani na brand ya timu ni kubwa unataka kila mchezaji alipwe pesa ndefu? Ushawahi ona wapi hiyo duniani? Yaani Real Madrid qakitaka kukusajili wewe inabidi wakupe mshahara mkubwa sawa na wa Jude?

Wadau wamekueleza vizuri tu, Becca hakuwa maarufu na mahiri kihivyo ila alipoingia Jangwani ndio wakamshape. Sasa ameingia mkataba Mpya natumai atakula Mema ya nchi. Kwani Mwenda au Duchu pale Simba anakula ngapi kama sio chini ya Laki 5 kwa mwezi.
 
Wee jamii una dharau sana yaani 1.5m ni mshahara wa House girl? Basi sawq
 
Watu wanaongea TU ila ukweli ni kuwa huwezi kuomba mill 10 ukiwa unatokea Zanzibar lazima uanzie chini Kisha uoneshe uwezo ndio dau lipande
 
wazee wa sare wazee wa rubbish
 
Uzi wako umejaa majungu, unafiki na kujitoa ufahamu! Tangu lini/ni wapi ambako mtu anaajiriwa na mshahara mkubwa?

Mbona hutuambii na mishahara ya timu yako ya simba? Au huko kwenu mnawalipa wachezaji wenu mishahara ya kuanzia milioni 10?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…