Yanga ni wanyonyaji sana

Yanga ni wanyonyaji sana

Uyo mchezaji alisajiliwa au akusajiliwa? Na vipi manzoki alisajiliwa kwenye mkutano wa kampeni?
Yuko wapi sasa hivi na kipindi anakuja kwenye campaign ilikuwa kashasajiliwa tayari mbona mlisema Morrison amesaini mkataba mpya kumbe ilikuwa uongo au ile sio siasa.
 
Calm down sio mimi nilie lalamika ni baba yake mzazi mimi nimewasilisha mada tu acha kukurupuka.
Amelalamika au ameelezea anachokijua? Lete hiyo video tuone kama amelalamika au ameongea tu anachokijua.
Kama angekuwa amelalamika, si tungeona akimshauri mwanae asiendelee na timu ya wanyonyaji?
 
Kuileta hapa ni kazi yko wewe maana ndio unataka ushahidi maana unataka kuanzisha league.
 
Hapo ni sawa ndo maana nimesema kwenye mkataba mpya lazima atakua ame negotiate vizuri...

Ndo maana timu hua zinaboresha maslahi ya mchezaji hata kabla mkataba wa awali haujaisha....rejea ya maxi nzegeli... Yanga waliboresha mkataba baada ya Kuona dogo anakiwasha mapema tu

Ukizembea unawapa mwanya timu nyingine kukupokonya mchezaji wako
Umemaliza...
 
Amelalamika au ameelezea anachokijua? Lete hiyo video tuone kama amelalamika au ameongea tu anachokijua.
Kama angekuwa amelalamika, si tungeona akimshauri mwanae asiendelee na timu ya wanyonyaji?
Tuna uelewa tofauti mtu anazungumzia maslahi ya mkataba wa zamani na mpya kuboreshwa mwengine akili zinamtuma kuwa analalamika.
 
Habari za weekend wadau,

Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba mzazi wa yanga Ibrahim bacca na mwandishi inafikirisha na kusikitisha sana.

Baada ya kumsikiliza baba yake Ibrahim bacca kutoka visiwa vya marashi na karafuu nimeamini yule engineer hersi ni mafia kweli sema anajificha kwenye kivuli cha matokeo na mwenendo wa yanga ila yule ni mafia wa kuotea mbali.

Feisal salum alisema ili arudi yanga labda engineer hersi aondoke ila mashabiki wakamshambulia bila kujua uhalisia ila feisal hakukurupuka kwasababu feisal anaijua yanga kuliko engineer hersi alikuwepo kipindi yanga inapitia kipindi kigumu na alikaa licha ya hali mbaya ya team.

Nimemsikiliza baba yake mzazi wa mchezaji Ibrahim bacca anasema mwanawe alikuwa analipwa 1.5 million kabla ya ku renew mkataba mpya kweli kupambana kote kule kumbe mshahara wenyewe wanamlipa kama wa coastal union ila engineer hersi ni mafia sana kwa kuwa mashabiki wa yanga wanaangalia matokeo tu hawawezi kuliona hlo na hata malipo ya sasa inaonekana sio mazuri japo mzee hajaweka wazi ni kiasi gani analipwa baada ya mkataba mpya ila ni kama anasikitika na haridhishwi na malipo hayo baada ya kukataa kujibu swali hlo.

Ukiangalia alivyoondoka yannick bangala djuma shaban na saido ntibanzonkiza utaona umafia wa engineer hersi hata juzi kati mayele alihojiwa kuhusu kurudi tena yanga alijibu mimi na yanga tumemalizana yaani hata akirudi Tanzania sio kuichezea yanga unaona tatizo lililopo la engineer hersi na hata fabrice ngoma wakati amepata dili la kwenda yanga aliwatafuta wa Congo man wenzake pale yanga wakamwambia huku hakufai kama una sehemu nyingine we nenda ila sio yanga ndio ukasikia watu wanalalamika wameibiwa mchezaji airport.

Stephan ki aziz kashaona pale yanga ni wasanii sasa hivi anazungushana nao kwenye mkataba wakati huo max zingeli naye akiwa hafurahishwi na engineer hersi alivyo msanii kwa kushindwa kutimiza mahitaji yake kwa wakati na kuanza kuangalia uwezekano wa kuondoka clubuni hapo engineer hersi ni mafia haswa kwasababu yanga imemgaragaza mtani na kuchukua NBC premier league na kufanya vizuri Caf confederation cup mashabiki hawawezi kukubali wala kuamini umafia wa GSM wao wanaangalia matokeo tu kweli Ibrahim bacca ni wakulipwa 1.5 million na inaonekana wapo wengi wanaopewa pesa za housegirl pale yanga.

NB: kwakuwa jamii forum ina hifadhi kumbukumbu ipo siku umafia wa engineer hersi utakuwa hadharani pale yanga na tutarudi hapa kuhitimisha because time is the best teacher.
Niseme tu kuwa wewe ni PUMBAVU SANA. KMKM alikuwa analipwa shilingi ngapi?
 
Ni ndogo sana ukilinganisha na mchango wake uwanjani na mikataba ya wachezaji wenzake....
Mchango wake mkubwa umeanza lini?
Kabla hajaanza kucheza mbona alikuwa akilipwa bila kufanya kazi na hamkusema?
 
Habari za weekend wadau,

Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba mzazi wa yanga Ibrahim bacca na mwandishi inafikirisha na kusikitisha sana.

Baada ya kumsikiliza baba yake Ibrahim bacca kutoka visiwa vya marashi na karafuu nimeamini yule engineer hersi ni mafia kweli sema anajificha kwenye kivuli cha matokeo na mwenendo wa yanga ila yule ni mafia wa kuotea mbali.

Feisal Salum alisema ili arudi yanga labda engineer hersi aondoke ila mashabiki wakamshambulia bila kujua uhalisia ila feisal hakukurupuka kwasababu feisal anaijua yanga kuliko engineer hersi alikuwepo kipindi yanga inapitia kipindi kigumu na alikaa licha ya hali mbaya ya team.

Nimemsikiliza baba yake mzazi wa mchezaji Ibrahim bacca anasema mwanawe alikuwa analipwa 1.5 million kabla ya ku renew mkataba mpya kweli kupambana kote kule kumbe mshahara wenyewe wanamlipa kama wa coastal union ila engineer hersi ni mafia sana kwa kuwa mashabiki wa yanga wanaangalia matokeo tu hawawezi kuliona hlo na hata malipo ya sasa inaonekana sio mazuri japo mzee hajaweka wazi ni kiasi gani analipwa baada ya mkataba mpya ila ni kama anasikitika na haridhishwi na malipo hayo baada ya kukataa kujibu swali hlo.

Ukiangalia alivyoondoka yannick bangala djuma shaban na saido ntibanzonkiza utaona umafia wa engineer hersi hata juzi kati mayele alihojiwa kuhusu kurudi tena yanga alijibu mimi na yanga tumemalizana yaani hata akirudi Tanzania sio kuichezea yanga unaona tatizo lililopo la engineer hersi na hata fabrice ngoma wakati amepata dili la kwenda yanga aliwatafuta wa Congo man wenzake pale yanga wakamwambia huku hakufai kama una sehemu nyingine we nenda ila sio yanga ndio ukasikia watu wanalalamika wameibiwa mchezaji airport.

Stephan ki Aziz kashaona pale yanga ni wasanii sasa hivi anazungushana nao kwenye mkataba wakati huo max zingeli naye akiwa hafurahishwi na engineer hersi alivyo msanii kwa kushindwa kutimiza mahitaji yake kwa wakati na kuanza kuangalia uwezekano wa kuondoka clubuni hapo engineer hersi ni mafia haswa kwasababu yanga imemgaragaza mtani na kuchukua NBC premier league na kufanya vizuri Caf confederation cup mashabiki hawawezi kukubali wala kuamini umafia wa GSM wao wanaangalia matokeo tu kweli Ibrahim bacca ni wakulipwa 1.5 million na inaonekana wapo wengi wanaopewa pesa za housegirl pale Yanga.

NB: Kwakuwa Jamiiforums ina hifadhi kumbukumbu ipo siku umafia wa engineer Hersi utakuwa hadharani pale yanga na tutarudi hapa kuhitimisha because time is the best teacher.
Umeongea upupu tu wewe hujui kitu. Huo umafia wenyewe mbona hauonekani? Mshahara ni makubaliano kati ya watu wawili na kama unahisi mshahara ni mdogo kataa ondoka.

Tuje kwa Ibrahim Bacca, hivi wakati anatoka Zanzibar ulikuwa unamjua wewe? Mchezaji alichukuliwa hafahamiki ameendelezwa amepanda thamani mnaleta midomo bila sababu. Hata huyo Bacca mwenyewe ukimuuliza kipindi anapewa mkataba wa 1.5Mil alifurahi mnoo. Inatoka ligi ya Zanzibar mchezaji anayelipwa sana laki Tano na unapewa mshahara mara tatu unasema kanyonywa. Bacca kaonesha thamani yake kapambana.

Kuhusu hao Wakongo wala hoja yako Haina maana. Yanga hadi sasa ina Wakongo watatu na inaleta Winga mwingine. Sasa unasemaje Wakongo hawaitaki Yanga. Hata huyo Djuma na Mwenzie ukiwauliza Leo wanajuta kuondoka Yanga.
 
Wewe ni ndugu yake maxi na aziz ki Mpaka wakakulalamikia hizo shida zao au unafanya assumption??
 
Thamani inakuwa kwa team au kwa mchezaji brand ya yanga ni kubwa hivyo inatakiwa iendane na uhalisia.
Kwa hiyo kwa kuwa thamani na brand ya timu ni kubwa unataka kila mchezaji alipwe pesa ndefu? Ushawahi ona wapi hiyo duniani? Yaani Real Madrid qakitaka kukusajili wewe inabidi wakupe mshahara mkubwa sawa na wa Jude?

Wadau wamekueleza vizuri tu, Becca hakuwa maarufu na mahiri kihivyo ila alipoingia Jangwani ndio wakamshape. Sasa ameingia mkataba Mpya natumai atakula Mema ya nchi. Kwani Mwenda au Duchu pale Simba anakula ngapi kama sio chini ya Laki 5 kwa mwezi.
 
Wee jamii una dharau sana yaani 1.5m ni mshahara wa House girl? Basi sawq
 
Wakati wa Sakata la Feisal Salum nilipata wasaa wa kumsikiliza Wakala wa Dickson Job Bwana George Job. Kwenye interview ile George Job alisema hakuna Klabu yoyote ya mpira wa miguu Duniani inayopenda kumlipa mchzaji fedha nyingi. Kinachofanya timu kukubali kumlipa mchezaji fedha nyingi ni negotiation kati ya Wakala wa Mchezaji na Management ya Timu. Tatizo wachezaji wengi wa Tanzania hawana Mawakala wenye ujuzi wa negotiation. Utakuta mchezaji msimamizi wake ni baba, mama au mjomba ambaye hana ujuzi wa negotiation. Ukiacha hilo, Bacca amekuwa alivyo kiuchezaji kutokana na kuwa sehemu ya Kikosi cha Yanga na amekuwa branded na Yanga. Je, angeendelea kuwa JKU angefikia kiwango alichonacho? Ni sawa na Kibu Dennis angeendelea kuchezea Mbeya City angekuwa na mafanikio aliyo nayo sasa? Klabu zina mchango mkubwa kwenye maendeleo ya Wachezaji. Mchezaji akitaka alipwe vizuri basi awe na uwezo mkubwa wa kunegotiate vinginevyo ataishia kulalamika tu.
Watu wanaongea TU ila ukweli ni kuwa huwezi kuomba mill 10 ukiwa unatokea Zanzibar lazima uanzie chini Kisha uoneshe uwezo ndio dau lipande
 
Habari za weekend wadau,

Tukiwa tunasubiria burudani kutoka Benjamin william mkapa kati ya yanga na al ahly na kule Botswana kati ya jwaneng galaxy na simba nimeona mitandaoni mahojiano ya baba mzazi wa yanga Ibrahim bacca na mwandishi inafikirisha na kusikitisha sana.

Baada ya kumsikiliza baba yake Ibrahim bacca kutoka visiwa vya marashi na karafuu nimeamini yule engineer hersi ni mafia kweli sema anajificha kwenye kivuli cha matokeo na mwenendo wa yanga ila yule ni mafia wa kuotea mbali.

Feisal Salum alisema ili arudi yanga labda engineer hersi aondoke ila mashabiki wakamshambulia bila kujua uhalisia ila feisal hakukurupuka kwasababu feisal anaijua yanga kuliko engineer hersi alikuwepo kipindi yanga inapitia kipindi kigumu na alikaa licha ya hali mbaya ya team.

Nimemsikiliza baba yake mzazi wa mchezaji Ibrahim bacca anasema mwanawe alikuwa analipwa 1.5 million kabla ya ku renew mkataba mpya kweli kupambana kote kule kumbe mshahara wenyewe wanamlipa kama wa coastal union ila engineer hersi ni mafia sana kwa kuwa mashabiki wa yanga wanaangalia matokeo tu hawawezi kuliona hlo na hata malipo ya sasa inaonekana sio mazuri japo mzee hajaweka wazi ni kiasi gani analipwa baada ya mkataba mpya ila ni kama anasikitika na haridhishwi na malipo hayo baada ya kukataa kujibu swali hlo.

Ukiangalia alivyoondoka yannick bangala djuma shaban na saido ntibanzonkiza utaona umafia wa engineer hersi hata juzi kati mayele alihojiwa kuhusu kurudi tena yanga alijibu mimi na yanga tumemalizana yaani hata akirudi Tanzania sio kuichezea yanga unaona tatizo lililopo la engineer hersi na hata fabrice ngoma wakati amepata dili la kwenda yanga aliwatafuta wa Congo man wenzake pale yanga wakamwambia huku hakufai kama una sehemu nyingine we nenda ila sio yanga ndio ukasikia watu wanalalamika wameibiwa mchezaji airport.

Stephan ki Aziz kashaona pale yanga ni wasanii sasa hivi anazungushana nao kwenye mkataba wakati huo max zingeli naye akiwa hafurahishwi na engineer hersi alivyo msanii kwa kushindwa kutimiza mahitaji yake kwa wakati na kuanza kuangalia uwezekano wa kuondoka clubuni hapo engineer hersi ni mafia haswa kwasababu yanga imemgaragaza mtani na kuchukua NBC premier league na kufanya vizuri Caf confederation cup mashabiki hawawezi kukubali wala kuamini umafia wa GSM wao wanaangalia matokeo tu kweli Ibrahim bacca ni wakulipwa 1.5 million na inaonekana wapo wengi wanaopewa pesa za housegirl pale Yanga.

NB: Kwakuwa Jamiiforums ina hifadhi kumbukumbu ipo siku umafia wa engineer Hersi utakuwa hadharani pale yanga na tutarudi hapa kuhitimisha because time is the best teacher.
wazee wa sare wazee wa rubbish
 
Uzi wako umejaa majungu, unafiki na kujitoa ufahamu! Tangu lini/ni wapi ambako mtu anaajiriwa na mshahara mkubwa?

Mbona hutuambii na mishahara ya timu yako ya simba? Au huko kwenu mnawalipa wachezaji wenu mishahara ya kuanzia milioni 10?
 
Back
Top Bottom