Kufuatia kinachoendelea pale Yanga kuhusu kurejea kwa Manara katika nafasi yake ya usemaji wa Club,ninashauri Yanga wafanye kama ifuatavyo:
1. Sababu Ali Kamwe amefanya kazi nzuri ya usemaji wa Club katika kipindi chote ambacho Manara alikuwa katika kifungo, basi nashauri abaki kwenye nafasi yake ya usemaji upande wa masuala ya kimichezo na hamasa za uwanjani.
2. Kwa sababu Manara ni msemaji na mhamasishaji mzuri, nashauri Yanga wampe nafasi ya Uhamasishaji upande wa ukuzaji wa matawi, kuongeza wanachama na kuhamasisha malipo ya ada za wanachama.
Kiufupi ahangaike na ukuaji wa timu kimapato.
PIA SOMA
- Utata Kati ya Haji Manara na Ali Kamwe: Hofu na Athari za Uamuzi wa Kurejea kwa Manara kama Msemaji wa Yanga