Yanga nina suluhisho kwenu kuhusu nafasi za Haji Manara na Ali Kamwe

Tusipindishe maneno HAKUNA Sababu ya team ya mpira wa miguu kuwa na msemaji ,inapaswa kuwa na idara ya habari ,msemaji wa team ni coach au manager ,tuchukue mifano kwa club nje ya Tanzania.
 
Mimi nina suluhisho ambalo najua ndiyo njia pekee ya kuepusha mgogoro huu unaochipuka ila sitalisema, nataka wavurugane huko kusikalike kabisa.
 
Wewe uko upande wa mbumbumbu na English yako MBOVU
 
Good thinking
 
Wee, akae kwenye kuhamisha ADA?manara? unamjua unaskia......ni afazali aondoke sio kumpa iyo kazi
 
Nadhani huu ushauri wako ndio ufanyiwe kazi ili kuondoa migogoro ktk hy Idara
 
Nadhani huu ushauri wako ndio ufanyiwe kazi ili kuondoa migogoro ktk hy Idara
nope sio mzuri

manara will leak information and management issues once he is released or contract terminated. in short manara shouldn't return at yanga at all.

I promise you akiludi we attack at mid night
 
Asante kwa mchango wako, ila inawezekana wewe ukawa Shabiki wa timu hasimu wa Yanga mko na kampeni ya kuzua taharuki ndani ya Yanga, mawazo yangu tu.
Sisi wenye Yanga yetu hatumtaki Manara.

Mtu wa Simba hawezi kuwa Yanga msidanganyike.

Na hata hilo tukimezea bado tabia zake Manara hazimbebi ana tabia mbovu kabisa.

Nitashangaa yani kijana smart kama Ally kamwe umletee vichaa kama Manara halafu anataka kujionesha yeye ndio yuko juu.

Kamati ya utendaji waliangalie kwa makini jambo wamkumbatie Manara au wapoteze mashabiki.
 
Mkurugenzi wa matawi yupo na mwenezi yupo.

Manara haaminiki.

CCM wenyewe hawamwamini. Ni chawa mpiga domo kinoma, havumiliki
 
Yes manara awe anasubiri siku za mechi kubwa azunguke mitaani na Yale malori yanayofanya promotion, akiwa na kispika. Asiruhusiwe kupitisha press conference kama yeye Bali jukumu hilo apewe kamwe
Hilo jua na ngozi yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…