Yanga Princess kuandamana kudai malipo yao

Kuendesha timu za wanawake hakuna faida maana hawazalishi chochote kile.

Wanawake hawapaswi cheza mpira
Inalipa ukiwekeza ukawa mvumilivu. Fountain Gate, Simba wote wameshapiga pesa kwa wanawake. Tanzania tulitakiwa tuweke nguvu zaidi kwenye soka la wanawake maana huku kwa wanaume kuna upuuzi mwingi. Wanawake wangeweza kutuheshimisha.
 
Siku Feisal anahojiwa na Clouds kuhusu sakata lake na Yanga kabla ya Mh Rais kuingilia kati,wachezaji wote wa Yanga Princess walipost kwenye mitandao kuwa wanalipwa kwa wakati na hawadai chochote.

Iweje leo watake kuandamana? Ile ni Propaganda?

Kweli Yanga na CCM ni wale wale. Wendawazimu.
 
Simba queens watumie mwanya huu kupita na Amina billal....huyo ndie mchezaji bora pekee aliebakia pale yanga princess
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…