Yanga Princess vs Simba Queens / Ngao ya Jamii /2-10-2024

Yanga Princess vs Simba Queens / Ngao ya Jamii /2-10-2024

Aliyesajili Yanga princess safari hii amejitahidi Sana naomba uongozi uangalie swala la physic, Hawana Nguvu ya kutosha kucheza dk 90'

Kama wangekua na Physic kama Yanga ya kiume Leo zilikuwepo 5G.
 
Ssa umeandika nini!? Sababu zinazo fanya timu za mpira za wanaume zinunue wachezaji toka nje ndizo hizo hizo zinafanya timu za wanawake kununua wachezaji wa nje. Wanaume wako wengi sawa na wanawake

Sema mpira umebadilika ila ningependa kuona huu upande wanatawala wasichana wa kitanzanzania maana wako wengi sana sijajua shida Nini hadi kwenda kununua wageni
 
Aliyesajili Yanga princess safari hii amejitahidi Sana naomba uongozi uangalie swala la physic, Hawana Nguvu ya kutosha kucheza dk 90'

Kama wangekua na Physic kama Yanga ya kiume Leo zilikuwepo 5G.
Amejitahidi sana ila bado team Ina kosa stamina hasa kwa wachezaji wazawa hata penalty kwa sehem kubwa wamekosa wao
Ila Precious kumuacha haukuwa uamuzi mzuri au tuseme Simba walipanda dau maana anajua afu mrembo sana yule angecheza na yule number 9 tungewapiga hata 6
 
Back
Top Bottom