Ikiwa na wachezaji watano wanaoanza pungufu leo tumefanikiwa kujipatia pointi tatu muhimu.
Yanga leo imecheza bila nyota wake tegemezi watano.
~ Yannick bangala
~ Khalid aucho
~ Benard Morisson
~ Faisal salum
~ Aziz K stephane
Pongezi kwa wageni wetu Kennedy Musonda na Mudathir kwa ku click moja kwa moja kwenye kikosi utadhani wamekua pale Avic town kwa mwaka mzima!
Ushauri kwa mwalimu Nabi, sasa ni wakati muafaka wa kutumia washambuliaji wawili kwa wakati. Tuisila, Ambundo na Faridi waongeze utulivu na umakini hasa wanapokua ndani ya box.
Utendaji wa Benard morisson ufuatiliwe kwa ukaribu, leo ana cheza, mechi ijayo anaumwa, anacheza mechi tatu mechi ya nne yupo Ghana.
Kila la kheri Yanga, Daima mbele..
Hakika yajayo yanafurahisha.