Yanga pungufu tumeuanza mwaka vizuri

Yanga pungufu tumeuanza mwaka vizuri

Ina maana makipa wote waliofungwa na Yanga wamepewa hela..?? Tuambie Manula alipewa shilingi ngapi…!!!
Ukweli mmoja wa wazi wa mpira ule wa kiufundi uliopigwa na azizi unadhihirisha ubora wa bao lenyewe.Lakini hauwezi kuficha magoli ya ajabu na ya kufikirisha yanayoendelea kutokea.Niitwe niitwavyo kuna uchafu sehemu.
 
Hizi coincidences zimekuwa nyingi mno. Mara wapewe penalty kwa makosa ya nje ya box. Hivi Uto wanajionaje kupata ushindi wa namna hii karibu kila siku tena haya magoli mara nyingi ndiyo yanayoamua mechi.

Yanga ina timu nzuri kwa maana ya maelewano ya kitimu uwanjani unayaona yapo ila magoli yao aisee.

Embu hesabu hizo coincidences kwa huu msimu zimetokea mara ngapi ukilinganisha na Simba? Lile goli la mlilipata dhidi ya Singida umeona kipa alichokifanya ila hampigi kelele kwasababu mnaona mpira ni mchezo wa makosa kipa kakosea. Ile mchezaji wa Prison katoa pasi kwa Sakho tena golini kabisa hilo kwenu ni mpira wa makosa ila kwa Yanga ilitokea ni mashaka. Wachezaji kwenye mechi muhimu wanafanya ujinga wa kupata kadi nyekundu mapema kabisa ila ingekuwa kwa Yanga lingeangaliwa kwa jicho la mashaka. Mpira usiwe mchezo wa makosa kwa timu zingine tu isipokuwa Yanga.
 
Kwa hiyo unataka kusema Simba wanafanya njama na wachezaji wa timu pinzani ili kuwaumiza wachezaji wa Simba ambao baada ya kuumizwa inabidi wakae nje ya uwanja wiki kadhaa?
 
Ikiwa na wachezaji watano wanaoanza pungufu leo tumefanikiwa kujipatia pointi tatu muhimu.

Yanga leo imecheza bila nyota wake tegemezi watano.

~ Yannick bangala
~ Khalid aucho
~ Benard Morisson
~ Faisal salum
~ Aziz K stephane

Pongezi kwa wageni wetu Kennedy Musonda na Mudathir kwa ku click moja kwa moja kwenye kikosi utadhani wamekua pale Avic town kwa mwaka mzima!

Ushauri kwa mwalimu Nabi, sasa ni wakati muafaka wa kutumia washambuliaji wawili kwa wakati. Tuisila, Ambundo na Faridi waongeze utulivu na umakini hasa wanapokua ndani ya box.

Utendaji wa Benard morisson ufuatiliwe kwa ukaribu, leo ana cheza, mechi ijayo anaumwa, anacheza mechi tatu mechi ya nne yupo Ghana.

Kila la kheri Yanga, Daima mbele..

Hakika yajayo yanafurahisha.
sema yule kisinda singida big stars hapati namba hata benchi hawezi pata nafasi ya kukaa
 
Back
Top Bottom