Yanga pungufu tumeuanza mwaka vizuri

Ina maana makipa wote waliofungwa na Yanga wamepewa hela..?? Tuambie Manula alipewa shilingi ngapi…!!!
Ukweli mmoja wa wazi wa mpira ule wa kiufundi uliopigwa na azizi unadhihirisha ubora wa bao lenyewe.Lakini hauwezi kuficha magoli ya ajabu na ya kufikirisha yanayoendelea kutokea.Niitwe niitwavyo kuna uchafu sehemu.
 

Embu hesabu hizo coincidences kwa huu msimu zimetokea mara ngapi ukilinganisha na Simba? Lile goli la mlilipata dhidi ya Singida umeona kipa alichokifanya ila hampigi kelele kwasababu mnaona mpira ni mchezo wa makosa kipa kakosea. Ile mchezaji wa Prison katoa pasi kwa Sakho tena golini kabisa hilo kwenu ni mpira wa makosa ila kwa Yanga ilitokea ni mashaka. Wachezaji kwenye mechi muhimu wanafanya ujinga wa kupata kadi nyekundu mapema kabisa ila ingekuwa kwa Yanga lingeangaliwa kwa jicho la mashaka. Mpira usiwe mchezo wa makosa kwa timu zingine tu isipokuwa Yanga.
 
Kwa hiyo unataka kusema Simba wanafanya njama na wachezaji wa timu pinzani ili kuwaumiza wachezaji wa Simba ambao baada ya kuumizwa inabidi wakae nje ya uwanja wiki kadhaa?
 
sema yule kisinda singida big stars hapati namba hata benchi hawezi pata nafasi ya kukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…