Yanga pungufu tumeuanza mwaka vizuri

Yanga pungufu tumeuanza mwaka vizuri

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Ikiwa na wachezaji watano wanaoanza pungufu leo tumefanikiwa kujipatia pointi tatu muhimu.

Yanga leo imecheza bila nyota wake tegemezi watano.

~ Yannick bangala
~ Khalid aucho
~ Benard Morisson
~ Faisal salum
~ Aziz K stephane

Pongezi kwa wageni wetu Kennedy Musonda na Mudathir kwa ku click moja kwa moja kwenye kikosi utadhani wamekua pale Avic town kwa mwaka mzima!

Ushauri kwa mwalimu Nabi, sasa ni wakati muafaka wa kutumia washambuliaji wawili kwa wakati. Tuisila, Ambundo na Faridi waongeze utulivu na umakini hasa wanapokua ndani ya box.

Utendaji wa Benard morisson ufuatiliwe kwa ukaribu, leo ana cheza, mechi ijayo anaumwa, anacheza mechi tatu mechi ya nne yupo Ghana.

Kila la kheri Yanga, Daima mbele..

Hakika yajayo yanafurahisha.
 
Kuna mambo hamtuambii yanayoendelea huko Uto. Inaonyesha hao kina Morrison wanacheza bure au kwa malipo kidogo sana. Haiwezekani mnavyotaka ubingwa wachezaji hawajulikana walipo.

Leo bila kumalizana na yule kipa mngelia.
 
Goli la mchongo
 
Goli la mchongo
20230116_232511.jpg

Huyu kipa alikuwa anajua Mayele yupo nyuma na anakuja na ukiangalia hao wachezaji wengine wa Yanga nao walikuwa wanalitegemea hilo.
 
Ikiwa na wachezaji watano wanaoanza pungufu leo tumefanikiwa kujipatia pointi tatu muhimu.

Yanga leo imecheza bila nyota wake tegemezi watano...

Yannick bangala
Khalid aucho
Benard Morisson
Faisal salum
Aziz K stephane

Pongezi kwa wageni wetu Kennedy Musonda na Mudathir kwa ku click moja kwa moja kwenye kikosi utadhani wamekua pale Avic town kwa mwaka mzima!

Ushauri kwa mwalimu Nabi, sasa ni wakati muafaka wa kutumia washambuliaji wawili kwa wakati..
Tuisila,Ambundo na Faridi waongeze utulivu na umakini hasa wanapokua ndani ya box

Utendaji wa Benard morisson ufuatiliwe kwa ukaribu,leo ana cheza,mechi ijayo anaumwa,anacheza mechi tatu mechi ya nne yupo Ghana.!

Kila la kheri Yanga,Daima mbele..
Hakika Yajayo yanafurahisha.
TK sijui anavuta ganja kabla ya match.. atulie acheze mpira safi
 
Kuna mambo hamtuambii yanayoendelea huko Uto. Inaonyesha hao kina Morrison wanacheza bure au kwa malipo kidogo sana. Haiwezekani mnavyotaka ubingwa wachezaji hawajulikana walipo.

Leo bila kumalizana na yule kipa mngelia.
We kaa hivyo hivyo vizuri tumemramba huyu unbeaten inaendelea! Maana hadi sasamiaka miwili tumefungwa game moja tu..!
 
Ikiwa na wachezaji watano wanaoanza pungufu leo tumefanikiwa kujipatia pointi tatu muhimu.

Yanga leo imecheza bila nyota wake tegemezi watano...
Mwanamichezo hawezi kuanza kuhesabu wachezaji waliokosekana. Siku kipa akiumia utasema hatukuwa na kipa namba moja, huo ni ushamba katika michezo. Mbona akina Tuisila na Moloko wapo?

Au kwani Metacha hayupo? Kwani haukujua kwamba Morrison na Aziz Ki ni lazima waende kwao kila ikitokea break? Tena sio kwa kuugua, kwa kupumzika na kuvitembelea vituo vyao.

Hayo ni makubaliano yao na mwajiri wao, kwa hiyo usianze kuhesabu kuwa hawapo, ni dhahiri na wataendelea kutokuwapo kwa wiki mbili, ni makubaliano tu. Waheshimu waliopo
 
View attachment 2484058
Huyu kipa alikuwa anajua Mayele yupo nyuma na anakuja na ukiangalia hao wachezaji wengine wa Yanga nao walikuwa wanalitegemea hilo.
Uliangalia mechi ya kombe la Dunia mwaka jana kati ya Ghana na Uholanzi?

Kama hukuangalia, basi uliza kwa wale waliongalia ili wakuambie Inaki Williams alitaka kumfanya nini huyo golikipa.
 
Mwanamichezo hawezi kuanza kuhesabu wachezaji waliokosekana. Siku kipa akiumia utasema hatukuwa na kipa namba moja, huo ni ushamba katika michezo. Mbona akina Tuisila na Moloko wapo? Au kwani Metacha hayupo? Kwani haukujua kwamba Morrison na Aziz Ki ni lazima waende kwao kila ikitokea break? Tena sio kwa kuugua, kwa kupumzika na kuvitembelea vituo vyao. Hayo ni makubaliano yao na mwajiri wao, kwa hiyo usianze kuhesabu kuwa hawapo, ni dhahiri na wataendelea kutokuwapo kwa wiki mbili, ni makubaliano tu. Waheshimu waliopo
Kaongea tu kuonesha utofauti, Simba bila chama tu mnapiga kelele
 
Vipers, Al Hilal walicheza mwaka majuzi
Usiwakumbushe maana hawa watu ni wa ajabu sana.

Nimejifunza katika maisha ukiwa unajidanganya, basi wewe mwenyewe ndiyo unakuwa wa kwanza kuumia ingawa inachukua muda kuja kufahamu hilo.
 
Toka nilipomwona yule kipa wa mtibwa kwa kweli siwaelewi yanga.AU WANAWANUNUA MAANA JANA WALIKUWA WANACHEZA UTADHANI SIO YANGA.
Hizi coincidences zimekuwa nyingi mno. Mara wapewe penalty kwa makosa ya nje ya box. Hivi Uto wanajionaje kupata ushindi wa namna hii karibu kila siku tena haya magoli mara nyingi ndiyo yanayoamua mechi.

Yanga ina timu nzuri kwa maana ya maelewano ya kitimu uwanjani unayaona yapo ila magoli yao aisee.
 
Huu ni ukweli uumao kuna tatizo sehemu.
 
Back
Top Bottom