Yanga punguzeni ushamba, mnatia aibu bara letu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Your browser is not able to display this video.
Yanga wamemtambulisha CEO Kivuli Senzo aliyekuwa Simba SC. Katika utambulisho wameonyesha ujuzi wa bosi huyo pamoja na timu alizopitia.

Yanga imefanya jambo la aibu kwa kuonyesha timu zote alizopitia isipokuwa Simba Sc timu ambayo alikuwa kabla ya kuajiriwa na Yanga.

Hii inatia kinyaa,hakika aliyewapa jina la Utopolo anastahili tuzo

My Take: Huwezi kufanikiwa kwa kumchukia aliye juu yako
 
mbona unaumia Sana, yahani ushamba wa yanga nyie mikia mnaumia.

Si usubiri hiyo tarehe 22 ukacheze amaboko pale kwa mkapa 😂😂
 
Huku nikuwashwa na yajirani yako!! Sio lazima kutajwa Simba km imekupenya itisha press sema Senzo alipita na Simba😂, kuwashwawashwa kwanini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…