Yanga punguzeni ushamba, mnatia aibu bara letu

Wamejazana Airport kuwapokea wakongo inaonekana wengi hawana shuguri ya kufanya
Akili za mashabiki wa Yanga na Simba zinafana tu. Mwaka jana kwenye Simba day mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba walianza kujazana uwanjani tokea asubuhi halafu ilikuwa ni siku ya kazi siku hiyo. Sasa jiulize hao nao hawakuwa na shughuli za kufanya?
 
Hao ni mashabiki kwa raha zao wameamua siyo wametumwa na Yanga
 
Ninyi mnajisahaulisha morisumu

Huyu senzo msikilize yeye mwenyewe wenzetu hawana longolongo hata punje

Alisema yanga walimfuata akiwa mbioni kuondoka msukule club na hajajua hata yeye walijuaje kwa hiyo huko msukuleni kuna kutoelewana wanaotoa Siri za ndani

Kumbuka muhamadishaji wenu aliandikaje kukosa furaha ndani ya msukule fc kaja mudi kamkatia chake kamfunga mdomo akajidai kukaa kando kwa ugonjwa kapigwa chake kageuka

Endeleeni na usukule wenu kwa mudi mumwingizie pesa
 
Misukule nyie wajinga sana
Yanga ni timu kubwa na senzo yupo kwa ajiri ya kusaidia tu mabadiriko ya kimfumo
Soma kwanza nilichoandika, halafu ndiyo ujibu.
Najua unaharisha, ila tulia kidogo.
 
Ipo Shida Sana Kwenye Hiyo Timu
Hata Mheshimiwa Ndugu Jakaya Kikwete Alisema
Yanga Bariidii Haina Mvuto
Tazameni Wenzenu Simba Walivyochangamka
πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜€πŸ™„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…