Smt016
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 3,012
- 4,300
Akili za mashabiki wa Yanga na Simba zinafana tu. Mwaka jana kwenye Simba day mashabiki na wapenzi wa timu ya Simba walianza kujazana uwanjani tokea asubuhi halafu ilikuwa ni siku ya kazi siku hiyo. Sasa jiulize hao nao hawakuwa na shughuli za kufanya?Wamejazana Airport kuwapokea wakongo inaonekana wengi hawana shuguri ya kufanya