Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani vituko havi kosekani tayar makocha wa Simba na yanga washapewa a.k.a [emoji4]
Wasimba-kishingo
Wayanga-trump
Wameajiri Mpiga Dili.jamaa inaonekana si mkaaji sana na klabu amepitapita kimtindow
Aisee Luc ...y! 🙂 🙂Klabu ya Yanga ikifanya kazi karibu na mdhamini wake GSM imemtangaza kocha Luc Eymail kuwa kucha mkuu atakaechukua mikoba ya mwinyi Zahera
Luc anauzoefu na soka la Africa na akiwa ametwaa mataji kadhaaa na vilabu tofauti.
Ametwaa ubingwa akiwa na AS Vita ya DRC Congo
Kocha huyo atatua Saa 8:30 mchana kiwanja Cha ndege Zanzibar kuungana na timu moja kwa moja kwenye michuano ya mapinduzi
View attachment 1316820
=====
Mfahamu Kocha Mpya Yanga Kwa Ufupi | .
:
✓ 26 August 2010, aliteuliwa kuwa kocha mkuu wa AS Vital ya Congo .
:
✓ Msimu wake wa kwanza aliisaidia AS Vita kumaliza Juu ya Tp Mazembe na kuisaidia pia kushinda Super Coupe du Congo 2011. Pia aliisaidia kuifikisha Raundi ya pili ya michuano ya CAF Champions league. Aliweka Rekodi ya mechi 23 bila ya kufungwa na baadae 2011 April alijiuzulu kufundisha timu hiyo
:
✓ 2011, 1 Julai alijunga na Missile ya Gabon kama kocha mkuu, na aliisaidia timu hiyo kushinda taji lao la kwanza la ligi katika historia yao, pia akaisaidia timu hiyo kufika Raundi ya 16 CAF Confederation Cup na kupoteza goli kwa penati 0-3 dhidi ya JS Kabylie baada ya Aggr ya 3-3.
:
Timu Nyingine alizo zifundisha Luc ni
2013 - Leopard, 2014 - Rayon Sport, 2014/15 - Js Kairouan, 2015 - Al Nasr, 2015/16 - Al Merrikh, 2016/17 - Polokwame City, 2017/18 - Free state Star, 2018/19 - Talae's El Gaish, 2019 - Black Leopard.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unajua soka..Kwa mtizamo wangu Charles Boniface mkwasa ni Kocha mzuri anaye wajua wachezaji wa kitanzania. Mkwasa ni Kocha msomi ambaye kwa bahati mbaya hajapata timu ya kufundisha nje ya nchi katika miaka ya hivi karibuni.Sidhani kama Yanga wamemfanyika sawa Kocha Boniface Mkwasa.
Pros and cons of Yanga reappointing Mkwasa
IT is nearing a week since Young Africans (Yanga) had sacked head coach Mwinyi Zahera and appointed Charles Boniface Mkwasa to replace the Congolese coach.www.ippmedia.com
![]()
Luc Eymael - Manager profile
This is the profile site of the manager Luc Eymael. The site lists all clubs he coached and all clubs he played for.www.transfermarkt.com
![]()
'I’m not being disrespectful but Luc Eymael mustn't come to SA‚' says gatvol Steve Komphela
Lamontville Golden Arrows coach Steve Komphela has lashed out strongly at Luc Eymael‚ former coach of Polokwane City and Free State Stars‚ saying he should not return to the South African coaching circuit.www.timeslive.co.za
Ana uraia wa ufaransa na congo piaZahera ni mfaransa au
Yaan nyie vyura sijui mnakwamaga wapi et kuongea kifaransa tiari kashakua raia wa ufaransa[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196]
Sent using Jamii Forums mobile app
weka swali vizuri wewe kilaza,ujinga mtu huzaliwa nao kama ulivyojidhihirisha kwako,Wameajiri Mpiga Dili.
Huo ujinga Umenunua Duka Gani?
Bora trump kuliko kishingoYaani vituko havi kosekani tayar makocha wa Simba na yanga washapewa a.k.a 😊
Wasimba-kishingo
Wayanga-trump
Mkwasa kumbe ni mfaransa...?[emoji848][emoji848]Mikia roho zinauma..tumemfukuza Mfaransa anashuka Mbelgiji
Mkwasa pia ana diploma ya Business Administration with specialization in Accountancy 1991 CBEMleta Cv umesahau kuweka charles boniface mkwasa alicheza kwenye timu ya taifa iliyofuzu kombe la mataifa ya afrika nigeria 1980
1980 African Cup of Nations squads - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Kwa maoni yangu huyu kocha mbelgiji mpya aliyekuja Hana jipya la kumzidi mkwasa
Muda Ndiyo mwamuzi